Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko ulimi wa chui. Wanawake mmetishaaaa
Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu.
Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick.
Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
Unashindanaje na kiumbe ambacho kina nyoa nyusi halafu kinajichora nyusi na Wanja?
Unashindanaje na kiumbe ambacho kinakata kucha halafu kinajiweka kucha bandia?
Unashindanaje na kiumbe ambacho kinavaa mini skirt halafu anahangaika kuivuta chini ili iwe ndefu?
Unashindanaje na kiumbe ambacho...
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi...
Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika.
Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe.
Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
Kwema wakuu!
Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.
1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya...
Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika.
Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo.
Juzi...
Based on true story/ based on experience.
Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce.
Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video.
ANGALIA VIDEO HAPA
📹 ZamaradiTv
MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa Kingono mwaka 1990.
Kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama, Mgombea Urais huyo wa Republican atalazimika...
1.kubadi ratia yake ya Kila siku ghafla.mafano kama alikuwa anarudi home saa kumi na ukaona anarudi mara saa tatu ya usiku ,mara saa nne.
2.kujibu majibu ya kejeli au matusi Kwa mwanamume wake mfano ;kati ya wanaume na wewe ni mwanamume.
3.Matumizi kuongezeka ghafla,kuwa na income ambayo source...
Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu...
Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja???
Mbaya zaidi ukute msichana hana...
Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku.
Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant
Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo!
Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii.
1. Mbeya
2. Mwanza
3...
4.....
Hivi ni Kwa nini?
Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya...
Utasikia tu:
Ndoa ni heshima kwa wazazi
Ndoa ni heshima kwenye jamiii
Ndoa ni heshima kanisani
Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza
Nitaonekanaje mtaani
Nitawaaibisha wazazi wangu
Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.