mwanamke

  1. music mimi

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni " Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa" "Nikitaka...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

    Anaandika Robert Heriel Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu. Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa. HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania CCM ni Sawa na Mwanamke Aliyewalisha Limbwata Watanzania

    Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM. Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana...
  5. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

    NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
  7. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

    Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
  9. Jugado

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

    Vigezo: 1. Awe muislamu 2. Umri miaka 20-26 au around that age. 3. Hakutakua na mapenzi kati yetu just need a child. 4. Mtoto akifika miaka 3 namchukua. 5. Malipo milioni mbili ukishika mimba. Milioni tatu mtoto akizaliwa salama. Milioni tano ukinikabidhi mtoto. N.B. Mimi nimeoa na Nina watoto...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
  11. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  12. Termux

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, Vijana wa sasa mnafeli wapi?

    Habari JF Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama kawa mke wako na usitumie sana nguvu pia maana mnaweza pia mkaachana kwa iyo iyo elimu ulio mpa...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    MUHIMU: Sheria za Tanzania zinaruhusu kuao binti mwenye miaka 15 Kwanza kabisa nisema binti wa miaka 15 sheria zinaruhusu aolewe, ni kwa wakristo tu sheria za makanisa yaliyoanzishwa ulaya hayakuwa na budi kufata sheria za ulaya, kwenye biblia binti akifika miaka hata 13 mwanaume anaweka order...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni muda upi mwanamke aliyepo kwenye ndoa si vyema kuranda mtaani?

    Wakuu kama mtu ni mke wa mtu kulingana na utamaduni wa kawaida ni wakati Gani usiku SI vyema kwake kuranda rande mtaani?
  15. mada20

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike anayejielewa

    Salamu Kwa wote, Mimi ni kijana umri 30. Nafanya kazi migodini, nina mwili wa kawaida. Nahitaji mwanamke umri usizidi miaka 29. Dini awe Cristian. Kabila lolote aliye tayari karibu pm.
  16. data

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke kwanini umpumbaze mumeo? Una faidika nini!?

    Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume wengine,kuushika mshahara wake, kumzalia watoto wasio wake n.k. inakusaida nini!? Kwanini usiachane nae...
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

    Mmesikia nyie wanaume Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
  18. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  20. Candela

    JamiiForums Tanzania Hamna mwanamke mwenye msimamo pesa ikihusika

    Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye hajazoea na hawezi so nikawa naambulia mara 1 kwa mwezi 😭😭, ikaenda mambo yakawa kibao, ikawa nakula tunda...
Back
Top Bottom