mwanamke

  1. Brain Kingdom

    Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  2. M

    SoC03 Mwanamke uvumilivu Bibi

    MWANAMKE UVUMILIVU BIBI! TUKOMESHE TABIA ZA KUVUMILIA NA KUHALALISHA VITENDO VYA UKATILI. Nenda “Kicheni pati” utasikia sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, “sendi ofu” mwanamke kuvumilia, kwa mama mchungaji nako binti uvumilivu!, bibi nae mvumilivu hula mbivu, mama ndo kabisa atakwambia mimi...
  3. Equation x

    Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji? Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini...
  4. Nyuki Mdogo

    Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

    Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima? mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
  5. Infinite_Kiumeni

    Ukiongea na mwanamke usiogope kuvuka mipaka ya kawaida

    Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha. Usiogope kumwambia kitu kibaya usichokipenda kuhusu yeye, lakini isiwe kitu ambacho hakirekebishiki kama vile umbile la pua yake...
  6. Hyrax

    Dalili 7 zinazokujulisha kuwa Mwanamke ana hamu na tendo la ngono

    1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati 2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara 3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa mara 4. Anapenda kupiga stori na kucheka cheka na akikaa sehemu anapenda kubana miguu 5. Ngozi yake...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kosa kubwa utakalolifanya mwanamke ni kujilinganisha na mwanaume!

    Anaandika Robert Heriel. Wanawake wengi waliokosa malezi na kufundwa wameingia katika tabu na madhila makubwa kutokana na kujilinganisha na mwanaume. Hilo ni kosa kubwa mno. Kosa ambalo wengi limewaacha kwenye matatizo makubwa. Taikon ninawalea mabinti zangu kwa kuwafundisha kuwa wao ni sawa...
  8. B

    Msaada tafadhali: Kisaikolojia nahisi mimi kumtongoza mwanamke ni kama najishusha, na najidhalilisha.

    Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year. Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
  9. Stunnaman008

    Nahitaji mwanamke

    Habar Kama mada ilokuepo juu nahitaji mwanamke wa kuchat nae
  10. Engager

    Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  11. Y

    SoC03 Nguvu ya Mwanamke Madarakani

    Nguvu ya Mwanamke Madarakani. Mwaka wa 2023 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Watu walikuwa na matumaini makubwa ya kuleta mabadiliko katika serikali na jamii. Walitaka viongozi wanaowajibika, wanaoheshimu haki za binadamu, wanaopambana na ufisadi na wanaotekeleza maendeleo...
  12. Z

    Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja?

    Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja? Fuatilia mnipe majibu !! Mie sijaelewa?
  13. Tajiri Tanzanite

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani ana uzao (kizazi)?

    Hapo vipi, Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati (enzi na enzi). Sasa kwa tafsiri rahisi niliyotoa hapo juu. Je, kati ya mwanaume na mwanamke...
  14. U

    Natafuta mwanamke mwenye VVU

    Habari zenu wakuu? Natafuta mwanamke anayeishi na VVU. Umri l kuanzia miaka 34 mpaka 45. Kwa aliye serious anipm. Au Kwa E-mail kakumbise5@gmail.com
  15. MIMI BABA YENU

    DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  16. Infinite_Kiumeni

    Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

    Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
  17. Samia atosha tukutane2030

    SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  18. carnage21

    Mwanamke mwenye watoto wengi zaidi kwa sasa duniani,ana watoto 44.

    ‪#UNAAMBIWA. Mariam Nabatanzi (41) raia Kutoka Nchini Uganda 🇺🇬 ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili...
  19. Stephano Mgendanyi

    Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  20. Mwachiluwi

    Sipendezwi na jamii inavyomchukulia Mwanamke

    Hellow Africa Huwa sijawai pendwa ata kidogo jamii inavyomchukulia mwanamke ni kama kiumbe anachostahili fedhea aibu uonevu kitu ambacho si sawa. Mwanaume anamchukua video mwanamke kisha anaenda kuitupia mtandaoni mwanaume huyo anasifiwa na jamii jamaa alikuwa moto jamaa ana kazi nzuri huku...
Back
Top Bottom