Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

clifford20

Senior Member
Apr 29, 2023
190
277
Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile.

Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria.
Kitendo cha mwanamke kufanya inahitaji emotions,feelings,spirit na nafsi yake.Kwa Mwanaume anaweza lala ata ana ukuta as long as kuna kitobo kwsbb it only involve a body,ndo maan mwanaume unaweza kuta ana mke mzuri anampenda,na watoto na familia. Lkn akalala na mtu ambaye five minutes akishaondoka hamkumbk ata kama alilala naye.

Men saikoloji kuhusu mapenzi ebu kwanza fikiria hichi kitu umeshawahi kuona watu wanapenda lakini wameenda kuvunja ndoa yao,wanasema I still love him lakini hatuwezi ishi nyumba moja but i still love au baada ya kuacha utakuta mwanamke anasem i still love him but braa braa nying hapo.

Mapenzi sio kitu peke ambacho kinashikilia watu wawili pamoja it involves more than that hasa kwa upande wa mwanamke, na ndo maan mwanamke anawez kufahamu kuwa wewe uko na mahusiano mawili, au ata matatu . Lkn yeye bado hacheat kwasababu kucheat kwa mwanamke sio kwenda kutoa tu mwili inainvolve vitu vingi kama nilivyosema sema hapo juu mpaka mwanamke ajikabizi kwa mwanaume mwingine.

Baada ya mwanamke kujikabizi kwa mwanaume ile heshima yako na utu wako inapotea, ata kama mkiombana msamaha akalia, akajigalalaza hapo chini,akasema hatorudia atakucheat tena. The day
akipata nafasi ya kufanya icho kitu atakifanya tena.sasa kabla hujaumia zaidi au kufanya future mistake ambayo inawez kusababisha kupata mtoto ambye sio wako.But if a woman cheats you leave here asap, na usisimp usiwe weak,akikucheat tafuta mtu mwingine jiumbe vizuri au jitafute ili lisitoke jambo kama lilo, unaweza kuta hayo mazingira ya kucheatiwa uliyatafuta mwenyewe either ulikua haupo vzr kiuchumi na braa braa nyingne hapo.

Siku nyingine tutaongelea kwanini wanaume inawauma sana ukisikia
Mke wako au mwanamke wako kalala na mwanaume mwingine,hicho kitendo hakitoki kwenye akili ya mwanaume.
Sindano
 
Back
Top Bottom