mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  2. JamiiForums Tanzania Je mwanamke anaweza kushika mimba akiwa na mimba?

    Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani. Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation. Katika historia ya kitabibu, kuna visa vichache sana (visivyozidi 15) vilivyothibitishwa duniani...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

    Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni. Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Walahi nime mblock yule mwanamke

    Nilikuwa namheshimu sana hasa kwa ushauri wake wa mambo ya fedha na uwekezaji. Kiumri anaweza kuwa kama binti yangu, LAKINI Kwa ule upuuzi na ile sumu aliyoisambaza kwa wanawake wenzie,,,waaalaaahi bilaahi nimemdilitia mbaali na kumblock kila pahala. Chap kwa haraka nafasi yake nimemuweka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke na haki za ndoa

    TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke aliyesoma na mwenye sifa za kitaaluma hawezi kutarajiwa kufungiwa ndani ya mipaka migumu ya majukumu ya ndoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  10. JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Ugonile, kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato. Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mzuri wa kuoa

    Binti mrembo ambaye yuko tayari kutulia na mme aje inbox chap, umri wangu ni miaka 37, pia asome Uzi huu na azingatie Waepuke wanawake masikini
  12. JamiiForums Tanzania Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

    Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba. Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyaona target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke

    Wakuu mimi niko salama!. Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale pale lakini kwanini sasa ilimfikia mwanaume?, kumaanisha kwamba target ya nyoka ilikuwa ni mwanaume...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa na harufu namuacha aisee

    Habari. Mimi sijui nina shida gani wazoefu. Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu. Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
  15. JamiiForums Tanzania Bruh jiheshimu kamwe usi Double text Huyo sio mwanamke peke yake Duniani

    Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
  16. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Stori zingine bwana, eti mwanamke hatakiwi ajue kama una hela benki, au umewekeza pahali fulani sababu anaweza kukuua au kuomba taraka mgawane mali

    1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke kanikimbia, akazae mbali

    Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live. Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona. Yaani nimebembeleza nimelia hajali Wameshampumbaza hawa mbwa. Nampataje tena. Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…