Je mwanamke anaweza kushika mimba akiwa na mimba?

Je mwanamke anaweza kushika mimba akiwa na mimba?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,677
Reaction score
870,409
Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani.

Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation.

Katika historia ya kitabibu, kuna visa vichache sana (visivyozidi 15) vilivyothibitishwa duniani kote vya wanawake waliopata ujauzito wa pili wiki chache baada ya ule wa kwanza
 
Kwahiyo anaweza kuwa na mimba kutoka kwa Mwanaume A then baadae akapate kutoka kwa Mwanaume B.

Hata hivyo Dunia inaenda kasi sana....
Ndiyo, inawezekana kitaalamu, lakini ni tukio la nadra sana linalohitaji masharti maalum ya kibiolojia yatokee kwa mpigo. Hali hii kitaalamu inaitwa Heteropaternal Superfecundation.

Hii ina maana kwamba mwanamke anaweza kubeba ujauzito wa mapacha wasiofanana (fraternal twins), ambapo mtoto mmoja ana vinasaba (DNA) vya Mwanaume A na mwingine ana vinasaba vya Mwanaume
 
Hapana mkuu, kuna baadhi ya department kwenye idara ya uzazi huwa zinafungwa kwa mda baada ya mwanamke kupata mimba,
Ila kuna tafiti zimethibitisha mkuu
1781368060155.jpg
 
Back
Top Bottom