nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,884
- 14,578
Nilikuwa namheshimu sana hasa kwa ushauri wake wa mambo ya fedha na uwekezaji.
Kiumri anaweza kuwa kama binti yangu,
LAKINI
Kwa ule upuuzi na ile sumu aliyoisambaza kwa wanawake wenzie,,,waaalaaahi bilaahi nimemdilitia mbaali na kumblock kila pahala.
Chap kwa haraka nafasi yake nimemuweka mjukuu wangu,,,ambae kwao nilisha sukuma truck kwa muda,,,SCANIA 113.