mwanamke

  1. J

    Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  2. KWELI Mwami Theresa Ntare alikuwa Chifu na Mkuu wa Machifu pekee Mwanamke Tanganyika

    Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa. Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya mtawala kutoka katika kabila la Waha wa Jamii ya Kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu...
  3. Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

    Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana. Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
  4. Jemima ninasema, mwanamke mwenye nguvu zaidi aidha za uchawi au nguvu za Mungu ndiye atakayeolewa

    Nimeona nifanye sharing ya video, nimechoka ku type. Ila ili uwe kuolewa, lazima uwe na nguvu zaidi ya wanawake wengine wa bwanako.
  5. KWELI Kufanya mapenzi mwanamke akiwa juu ni hatari kwa afya ya uume wa mwanaume

    Wakati napitia pitia mitandaoni kutafuta style mpya kwa ajili ya shangazi yenu ndio nikakutana na hili bandiko kuwa aina ya kujamiiana huku mwanamke akiwa amemkalia mwanaume juu ('woman on top' or 'cowgirl' or 'reverse cowgirl'), hatari kwa afya ya mwanaume kwani hupelekea maumivu makali kwani...
  6. Mwanamke lazima Abadili Dini na Imani Ili ifanane na yako ndipo umuoe.

    MWANAMKE LAZIMA ABADILI DINI NA IMANI ILI IFANANE NA YAKO NDIPO UMUOE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya ishara za awali Kwa Mwanamke anayekupenda na anayeweza kuwa Mkeo ni kukuamini, na kuamini Kwa kile ukifanyacho na kile unachokiamini. Kwa Mwanamke Hisia na Imani vinaenda sambamba...
  7. Heri kuishi kwenye Dari au jangwani pekee Yako kuliko kuishi na mwanamke mgomvi

    MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI Mithali 21:9, 19; "Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi." "Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi." Leo nataka tuanze mfululizo wa somo hili, lengo likiwa ni kuboresha mahusiano...
  8. Mwanamke Akiwa Mjamzito Mambo na Mipango yote Huvurugika!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Sitarajii tena kumpa mimba mwanamke wangu Rehema, akifanikiwa kujifungua salama mwezi wa 10 basi hawa ndio watakuwa watoto wangu wa mwisho na sitotarajia tena kupata watoto kwasababu ni kujifunga kwa mambo yangu!. Kwanza kabisa nipende kumshukuru Mungu...
  9. J

    Nahitaji mwanamke wa kuoa Ana VIH +

    Hello! Mungu awababariki Niko mwanaume with 42age With VIH + and mtoto mmoja NATAKA MWANAMKE wa kuoa Same life. Mwanamke akubari ku inshi Tanzania au Rwanda Kwa SABABU Mimi nainshi Rwanda. Niko na level bachelor degree But napenda BIASHARA Sana That is the why I know Arusha ,Kilimanjaro...
  10. Mwanamke ukimwambia ni mzuri na ukampa furaha anakuwa Mzuri

    MWANAMKE UKIMWAMBIA NI MZURI NA UKAMPA FURAHA ANAKUWA MZURI. Anaandika, Robert Heriel Mastermind. Ukitaka Mkeo au Mpenzi wako anone, awe pisikali iliyonyooka mpaka Sisi wanaume wengine tumtolee udenda, Kwa maana hiyo ndio Raha ya kuwa na MKE. Sio unakuwa na MKE amekondeana, umemchosha...
  11. Serikali yampa ajira Mwanamke anayekumbatia Watoto njiti hospitali ya Amana

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu, mwanamke anayejitolea kukumbatia watoto niti waliotelekezwa katika Hosptali ya rufaa ya mkoa Amana jijini Dares Salaam. Ajira hiyo imekuja siku moja tangu Rais Samia Suluhu Hassan kutuma salamu za pongezi...
  12. Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Ni muhimu kumsikiliza mwanamke wako kwa makini, hata kama unaona anaongea maneno yasiyo na maana au anajieleza kwa njia ambayo haieleweki kwa urahisi. Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kusikilizwa, na kuwa na mazungumzo ya kuaminiana na wazi ni muhimu katika uhusiano wowote. Hapa kuna sababu...
  13. Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  14. SI KWELI Mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lazima atoke damu

    Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu, hii imekaaje? Je, ni kweli mwanamke akitolewa bikra lazima atoke damu? Na kama ndiyo hao wanaodai...
  15. D

    Kesi za talaka zizingatie muda kwenye kutoa hukumu kuepusha ukatili dhiki ya mwanamke

    Wasimamizi wa sheria za ndoa wanachangia sana ongezeko la uharifu dhidi ya binadam! Kesi nyingi za talaka zikifika mahakaman zinapigwa danadana sana kiasi cha kuchukua muda mrefu huko mahakaman jambo linalochangia madhara kwa wanandoa wenyewe! Athari kubwa inamkumba sana mwanamke ambaye yupo...
  16. Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  17. Iwe kwa mwanaume au mwanamke

    Hello 👋 Kudate na mtu amekuzidi umri kuna utamu wake sana yaan ata mwanaume ukidate na mwanamke amekuzid hamsumbuan raha tupu mapenzi mubashara mda wote hakuna utoto Kwa wanawake serenity wenyewe mnajisikiaje kudate na mtu amekuzid umri?
  18. B

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa, awe muislamu na umri kuanzia 19 Hadi 24. Aliye serious anitafute: 0678625773
  19. Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  20. S

    Mwanamke ni rahisi kudanganyika mambo ya kiimani

    Habari za mchana. Naomba nirejee hicho kichwa hapo juu. Nimepitapita nakuona makanisa mengi ya kiutapeli wanajaa wanawake, wanawake ndo wamekua chambo za wachungaji katika kujivunia kipato, Sasa mi nauliza shida ni Nini? Wanasayansi wanasema kwamba mwanamke anafanya maamuzi kutumia hisia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…