Natafuta mpenzi aje kuwa mke

Filip

Member
Dec 30, 2023
18
30
A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife".

Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a wife.
Mimi natafuta mwanamke ambaye toka ndani ya moyo wake anatamani kuwa na "Mume" na sio mwanaume, maana wanaume wapo wengi tu anaweza pata popote pale na wakati wowote ule.

SIFA ZANGU
-Nipo tayari kupima HIV pamoja,
-Elimu yangu ni kidato Cha nne,
-Mkristo Mkatoliki
-Umri miaka 39
-Kazi: Nimejiajiri
-Urefu wangu 170cm, mweusi wa kawaida

SIFA ZA MWANAMKE
-Awe tayari kupima HIV pamoja
-Awe na hofu ya Mungu, dini yeyote but mind you that I am catholic
-Umri kuanzia miaka 29 - 38
-Akiwa na mtoto/ single mama basi asizidi mtoto mmoja
-Elimu yake: form IV / up to masters
-Kazi: awe employed public or private sector or self employed.

Ukiwa interested nakukaribisha sana, na unaponitumia ujumbe naomba jitahidi kuelezea wajihi (sifa zako) ili niweze kukufahamu vema na kufahamiana pia.

Maisha ya furaha kwa mwanaume ni pamoja na kuwa na mwanamke mzuri mwenye upendo kwa mume wake, vivyo hivyo kwa mwanamke ni kumpata Mwanaume mwenye upendo wa kweli, mwenye vision na anayeweza kusimama kama Mume - Baba na Kiongozi wa familia bora yenye furaha na upendo.

MILANGO IPO WAZI, KARIBUNI SANA 🙏
 
Kwa nini umedanganya elimu?Umeanza kutokuwa muaminifu.
Mkuu elimu yangu ni ya kidato cha nne kwa maana ya "Form Four".
Kuwa mume bora haimaanishi lazima uwe na elimu ya Diploma au Degree.

Vivyo hivyo kuwa "Mke Bora" haimaanishi lazima awe na elimu kubwa ya Diploma au Degree lakini ikitokea akawa na sifa hiyo basi ni jambo jema na la kumshukuru Mungu kwa sababu familia itakuwa imepata mama mwenye elimu na anayeweza kuwaongoza vema watoto katika malezi na mengine mengi ya kidunia
 
Mkuu elimu yangu ni ya kidato cha nne kwa maana ya "Form Four".
Kuwa mume bora haimaanishi lazima uwe na elimu ya Diploma au Degree.

Vivyo hivyo kuwa "Mke Bora" haimaanishi lazima awe na elimu kubwa ya Diploma au Degree lakini ikitokea akawa na sifa hiyo basi ni jambo jema na la kumshukuru Mungu kwa sababu familia itakuwa umepata mama mwenye elimu na anayeweza kuwaongoza vema watoto katika malezi na mengine mengi ya kidunia
Sawa.Hizo alama za "......" unamaanisha nini kila uandikapo neno?Hakuna swali la kijinga duniani. Naomba ujibu bwana harusi mtarajiwa.
 
Mkuu inawezekana kutokana na elimu yangu ndogo nikawa nakosea matumizi ya hizo alama either kwa kujua au kutokujua.
Lakini ninachomaanisha hapo ni msisitizo wa kitu muhimu cha kuzingatia kwa maana ya point to note to the reader.
Kama nimetumia kimakosa basi nadhani kwa sababu ya elimu yangu hiyo ya kidato cha nne D.
 
Mkuu inawezekana kutokana na elimu yangu ndogo nikawa nakosea matumizi ya hizo alama either kwa kujua au kutokujua.
Lakini ninachomaanisha hapo ni msisitizo wa kitu muhimu cha kuzingatia kwa maana ya point to note by the reader.
Kama nimetumia kimakosa basi nadhani kwa sababu ya elimu yangu hiyo ya kidato cha nne D.
Ni vema na haki yako kuonesha unyenyekevu na kujishusha utafutapo mke.Vipi kuhusu kuoa mke mwenye masters:Huoni kwamba mtakuwa wawili wenye dunia inayotofautiana sana kimaono ilhali wewe ni "fomfo D"?
 
Kwa mtazamo wangu sidhani kama mwanamke akiwa na masters degree itamfanya aukane uanamke wake hasa kwa kuzingatia "gender roles".

Ndio maana nimesema mwanamke mwenye elimu kuanzia kidato Cha nne au zaidi. Maana yangu ni kuwa wapo wanawake wasomi na wenye nafasi nzuri au kazi nzuri wanawajibika katika nchi yetu lakini kutokana either na elimu zao or nafasi zao za kazi katika jamii wanaume wanaogopa kuwatongoza na mwisho wa siku wanaendelea kuwa single simply because of men inferiority kwamba huyo ana elimu kubwa au kazi nzuri au ana cheo kikubwa atanisumbua. Lakini tambua kuwa nao ni binadamu na wanahitaji mwanaume bora anayeweza kusimama kama baba na Kiongozi wa familia bora.

Kifupi ni kuwa cheo au elimu yake ni huko kazini lakini akifika ndani anavaa uhusika kama "mke na mama bora wa familia by considering gender roles " lakini akishapanda V8 yake kuelekea kazini kwenye majukumu yake basi yeye ni Boss wa huko and I will respect that for 100% including supporting her where necessary.
 
Ok.Unapendelea awe na masters katika nini?Sheria au Elimu?Maana tusingependa kuamulia ugomvi kila mara kuhusu "contempt,jealousness & equal rights within your marriage"!
 
Mkuu labda nikukumbushe kitu. Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya "Mume" always anakuwa "loyal" kwa husband au mpenzi wake no matter kiwango Cha elimu alichokuwa nacho au cheo alicho nacho.
Kwa hiyo awe ana elimu ya Diploma ya record management au LLB au masters of Engineering, MBA au Education au CPA hivyo vyote ni vyake yeye, na havina uhusiano wa moja kwa moja wa yeye kuwa mke bora na mama mzuri wa familia.

Mwanamke anayejikweza kwa elimu yake au cheo chake kukihusisha na ndoa yake likely she is feminist na kamwe hawezi kuwa na nafasi nzuri ya kuwa MKE na mama bora wa familia.

Na kulingana na tangazo langu mwanamke mwenye sifa ya "feminist" hawezi ku-qualify. Hivyo elimu yake asi-ifanye kuwa ndio sifa ya yeye kuwa mke bora, Mimi sihitaji elimu yake.
 
Mkuu labda nikukumbushe kitu. Mwanamke anayejitambua na kutambua thamani ya "Mume" always anakuwa "royal" kwa husband au mpenzi wake no matter kiwango Cha elimu alichokuwa nacho au cheo alicho nacho.
Kwa hiyo awe ana elimu ya Diploma ya record management au LLB au masters of Engineering, MBA au Education au CPA hivyo vyote ni vyake yeye, na havina uhusiano wa moja kwa moja wa yeye kuwa mke bora na mama mzuri wa familia.

Mwanamke anayejikweza kwa elimu yake au cheo chake kukihusisha na ndoa yake likely she is feminist na kamwe hawezi kuwa na nafasi nzuri ya kuwa MKE na mama bora wa familia.

Na kulingana na tangazo langu mwanamke mwenye sifa ya "feminist" hawezi ku-qualify. Hivyo elimu yake asi-ifanye kuwa ndio sifa ya yeye kuwa mke bora, Mimi sihitaji elimu yake.
Vema zaidi.Ila,jitahidi umpate aliye "loyal" kwako.Akiwa "royal" na akajiweka daraja hilo utapata mushkeli.
 
Unataka kujiingiza kwenye 'lock'... ok kila lakheri mkuu. 😎

-Kaveli-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom