Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,895
Kwema Wakuu!.

Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.

Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.

Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.

Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.

Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.

Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.

Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.

Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.

Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.

Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.

Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.

Chunga sana
Wasalamu
 
Sasa tusiwakojoze warembo wetu?

Hata yule umpendaye ukisha mmwagia shahawa unamuona mbaya.

Sababu ya ubaya ni kwamba mwanaume anaamini kwamba shahawa ni uchafu, kwa hiyo ameshamchafua mwanamke na hamtamani tena. Na hili hudumu kwa muda mfupi sana!

Mapenzi na ndoa ili yadumu inampasa mwanaume ampende mwanamke wake kila siku, na mwanamke amuheshimu mwanaume kila wakati.

Kwenye mahusiano na ndoa, kutongozana ni kila mara na kupeana ni wakati wowote

Usidhani kwamba ukishatongoza mara moja imeisha.
 
Hivi vitu havina formula, kuna pisi niliwahi kuziona mbovu kinazi hata kupokea simu nilikuwa najilazimisha, ila nilipokuja kuonja ndio nikapagawa hata greda lilishindwa kunitoa

Mpaka leo naheshimu wanawake wote bila kujali ana muonekano gani, nilipata funzo kuwa ukitaka kujua utamu wa ngoma (au 'chama' ingalikuwa wahenga ni makolo venye wangeita😂) ingia uucheze
 
Back
Top Bottom