MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
Namshukuru sana mungu nimezaliwa kweny kipindi ambacho wanawake walikuwa wanajitambua na wanajiheshimu sana.
Namshukuru sana mungu kwasababu nimezaliwa na mwanamke anayejiheshimu, anayejitambua na anayejua thamani ya utu wake.
Video hapo chini inaonesha mtoto akienda kumuondoa mama ake...
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE.
Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA
(thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda.
Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena.
Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama Hana vigezo unavyo taka.
Hata ivyo katika miaka ya ivi karibuni wanaume wamepunguza kutongoza kwa...
Wakuu habarini👋
Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.
Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani?
Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue...
SHERIA YA KUMHUDUMIA MWANAMKE IFUTWE, KWA SASA AJIRA ZINATOLEWA KWA WOTE BILA UPENDELEO.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sheria ya Mwanaume kumhudumia Mwanamke ifutwe. Sheria ya mke kuchukua mkopo kwa Jina la mumewe nayo ifutwe. Ni sheria zilizopitwa na wakati na zisizoendana na ulimwengu wa...
DIDDY ATUHUMIWA NA MWANAMKE WA 4 K UBAKAJI WAKATI AKIWA NA MIAKA 17
Huenda Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha uhusika wake
Na hiyo ni baada...
Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika
"Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti ya upole pamoja na rangi asilia, anayeteka utayari na hisia za wanaume, mwenye mapenzi ya dhati pasi...
Tanganyika tuna msemo ulioanzishwa na wanawake wana -harakati katikati ya miaka ya 90' hasa 1995 baada ya Zakia Meghji na kundi lake kutoka mkutano wa Beijing wa kutaka usawa na wanaume.
Wanawake waliohudhuria walirudi Tanganyika na mtazamo mpya, wakitaka kila kitu sawa na wanaume ama kuwazidi...
Usuli
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Wakati mwingine wanawake hutamka maneno mbele za waume/wapenzi/michepuko ambayo wao hudhani kuwa yanawajenga kumbe yanawaanika bayana. Hii hasa hutokana na ama kujipendekeza au kutaka kupata furaha au huruma ya aina fulani. Mwanamke...
Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda.
Bi Safina amejifungua mvulana na msichana mmoja akiwa na uzito wa kilo 1.7 kila mmoja katika Kituo cha Kimataifa...
Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa...
UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII.
Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia.
Ndio maana sisi Watanzania mtu akioa tunasema "Jamaa kavuta JIKO" eeh.
Hiyo kauli ina maana kubwa sana...
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini, Mkoani Manyara.
Taarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke...
KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE?
Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
Habari wadau.
Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s..
Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka.
Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu?
Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada.
1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
Wakuu nimepigwa na mchumba wangu mdomoni na kuniongolea maneno mabaya. Kuna kitabia ambacho mke wangu anayonifanyia kabisa sometime ananipiga na kunitukana na kuniongelea kashfa mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.