MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

Brightly

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
261
353
Habarii ndugu zangu Wana jf,Ni muda Sasa nimekuwa nikifanya sex under performance yaanii chini ya dakika mbili tayarii nakuwa nimeishamaliza na hunichukua Hadi dakika 15 au zaidi kurudia round ya pili ambayo huwa ya mwisho na yenyewe pia huaga naenda haizidii dakika labda mara moja moja huwa inazidii hapo

Mwanzoni nilichukulia ni kawaidaa tuu mpaka jana niliposhindwa kabisa kufanya chochotee yaani ilisimama tu nilipotaka kuingiza nikawa nimemuaga nilijitahidii saana kurudia round ya pili lakini ilinichukua nusu saa nzima kurudia round ya pili ambapo pia uume haukusimama vizurii hivyo nilichukua chini ya dakika tatu kumaliza kitu ambacho kilinidharirisha Sana japo hilo sikujalii saana ila naona naanza kuogopaa Sasa.

Naombenii ushaurii wenu au yeyote anaejua tiba ya kudumu ambayo haina madhara mwilini anisaidiee saana au mtaalamu wa afya anaejua Mambo hayo anisaidiee.
Checklist:
(1). Sijawahii kupiga punyeto kabisa katika maisha yangu Tangia nizaliwe huaga nasikia tuu kama storii.
(2). Mimi sio mpenzii wa video za ngono au niseme huaga siangalii au sijawahii kuwa mraibu wa video za ngono.
(3) Mimi sio muhunii natafuta tiba Kwa ajili ya Mke wangu tuu.
(4) Sijawahii kutumia aina yeyote ya kilevii au madawa yeyote ya kulevya Tangia nizaliwe
(5) Umri wangu ni chini ya miaka 30 na Nina afya njema kabisa Mimi sio mnene ni mwembamba na Wala sijawahii kuwa mnene.
Natumainii nitapata ushaurii wa kunisaidia ndugu zangu ikiwezekana tiba kabisa.
 
Hayo ndio majaaliwa yako ndugu. Kuna wengine waliumbwa wa enjoy sex na kuna walioumbwa waweze zalisha tu.

Dakika zako mbili ni kwa ajili ya kutungisha mimba tu. Kubaliana na hali yako maisha yaendelee.
 
Mkuu Fanya Mazoezi (Kimbia Asubuhi/ Jioni) Hiyo Itakusaidia Kuwa Na Uwezo Wa Kunywa Maji Mengi Hilo Tatizo Lako Litakoma Mara Moja.

Ukifanya Hivyo Utachakata Papusi Hadi Ataomba Msamaha Umuonee Huruma.

Pia Inawezekana Umeanza Kuwa Na Uzito Mkubwa Hivyo Zingatia Ulaji Wa Vyakula Kuepusha Hilo.

Kila La Kheri Katika Ratiba Yako Nzuri Ya Mazoezi Ya Mwili. (Physical Exercises)
 
Mimi naona apo shida ni hofu ambayo inaweza sababishwa na vitu vifuatavyo
✓Msongo wa mawazo ( too much expectations)
✓ mtu uliye kutananae ulikua unamuogopa au ujamzoea

Subili waje wajuzi wa aya mambo maana jamiiforum Kila mtu anaunganisha bao pia anapiga zaid ya 4 Kila bao linachukua dakika 45+
 
Mkuu niliwahi pata changamoto kama yako mwaka 2016 17 ila nikawa natumia mbinu ya kujichua kabla ya kukutana na mwanamke hii inasaidia kuanzia gia namba mbili hivyo utadumu mchezoni kwa muda huku ukiendelea kujenga confidence zingatia mlo sahihi kunywa maji ya kutosha kula tikikiti vipande viwili au zaidi muda mfupi kabla ya kwenda mchezoni kama ni mnywaji kunywa bia mbili. Mwisho mazoezi ni muhimu zaidi
 
Ila watanzania bn..😁😁 eti hivyo hivyo ulivyo unasema unaafya njema?😅 Haya kama una afya njema kwann unaomba msaada??
.
Kwakifupi wew nigonjwa kama wagonjwa wengne tu so fuata ushauri kama walivyosema hapo juu, fanya mazoezi, kunywa maji mengi, kula vyakula vzr na matumda kwa wing lkn jitengenezevizr akili yako..
 
Mkuu Fanya Mazoezi (Kimbia Asubuhi/ Jioni) Hiyo Itakusaidia Kuwa Na Uwezo Wa Kunywa Maji Mengi Hilo Tatizo Lako Litakoma Mara Moja.

Ukifanya Hivyo Utachaka Papusi Hadi Ataomba Msamaha Umuonee Huruma.


Pia Inauwezeka Umeanza Kuwa Na Uzi Mkubwa Hivyo Zingatia Ulaji Wa Vyakula Kuepusha Hilo.


Kila La Kheri Katika Ratiba Yako Nzuri Ya Mazoezi Ya Mwili. (Physical Exercises)
Nashukuru sana mkuu,inawekana kweli hilo ndio tatizo maake mm sio mpenzii wa mazoezii
 
Nashukuru
Mimi naona apo shida ni hofu ambayo inaweza sababishwa na vitu vifuatavyo
✓Msongo wa mawazo ( too much expectations)
✓ mtu uliye kutananae ulikua unamuogopa au ujamzoea

Subili waje wajuzi wa aya mambo maana jamiiforum Kila mtu anaunganisha bao pia anapiga zaid ya 4 Kila bao linachukua dakika 45+
Hahaha nashukuru Sana mkuu
 
Back
Top Bottom