Kwa sisi Watibeli, ukoo unatoka kwa Mwanaume au mwanamke aliyemtibeli

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
Kwema Wakuu!

Ikiwa wewe sio Mtibeli lakini ikatokea ukaoa binti ya Tibeli basi Elewa kuwa M/Watoto watakaozaliwa kwenye ndoa yenu watakuwa ni Watibeli.

Kwa sisi Watibeli, katika suala la uzao. Mwanaume na mwanamke ni Sawa.
Kwetu Mwanamke na mwanaume ni Sawa ikiwa wote ni Watibeli.
Lakini ikiwa Mwanamke wa kitibeli akaolewa na mwanaume asiyemtibeli basi Mwanamke huyo ndiye atakayekuwa kiongozi wa hiyo nyumba.
Mwanamke wa Tibeli ni zaidi ya mwanaume wa kawaida ambaye siye Mtibeli hata kama angekuwa na sifa ipi.

Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo na ndivyo itakavyokuwa.
 
Hivi mkuu wa Tibeli ni watu wa aina gani?
 
Back
Top Bottom