mungu

  1. Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
  2. Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

    Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi. Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs...
  3. Mungu akitaka kukufundisha jambo hakudai ada

    Habari za wakati huu, naomba ku declare interest kua muhusika mkuu wa kisa hiki sio Mimi lakini baada ya kusimuliwa nimeona ipo haja ya ku share na wewe tiririka nayo. Mwaka 2016 nikiwa nimetoka mzigoni baada ya kuunganisha night mbili na day moja (hii ni ratiba ya kawaida kabisa kwa intern...
  4. S

    Natumia approximately laki 3 kwenda kwenye interview ya kazi ambayo ni Mungu tu ndo anajua kama ntaipata

    Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu. Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah. Inaniuma lkn kwny maisha haya huwez pata kitu bila kurisk. Ama kweli maisha bongo ni magumu sana, acha...
  5. Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  6. Mungu nisaidie kijana wangu asiwe muhuni kama mimi, hatojenga

    Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje wanawake wabaya wanazaa mabinti wazuri kweli? Mimi sio handsome ila yule mtoto wa mama mkwe alinizalia...
  7. Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

    --- Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona. Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
  8. Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

    Heri ya Krisimasi, Merry Christmas Sikukuu ya Krisimasi kwa mwaka huu imedondokea siku nzuri ya Jumapili! Hii ni Makala ya Jumapili ya Krismasi. Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na huyu Masiya aliyezaliwa leo, Bwana wetu Yesu Kristu, aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani...
  9. L

    Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

    Ndugu zangu watanzania, Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
  10. Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

    Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia. Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran. Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise...
  11. Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu. Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi" Baada ya kuisoma...
  12. Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Nawasalimu kwa jina la aliye juu wakulima wenzangu. Nasimama hapa kutangaza rasmi kwamba 2023 nitafia shambani. Nimejiridha pasipo na shaka kwamba mali utaipata shambani. Kwa hiyo 2022 nimeitumia vizuri kujiandaa na kutafuta mtaji. Nasema nitafia shambani nikijiamini kwa sababu ya maandalizi...
  13. T

    Wakati tunaingia 2023 Watanzania wenzangu tuzidi kujipa moyo Mungu yupo

    Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake. Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania...
  14. T

    Waangalie wanaabudu Mungu anayewafanya watumwa!

    Mungu wao anataka waabudu wakoloni kama Mungu, wakati ni shetani tu atakaye kuabudiwa kama Mungu, na ni marafuku kutaka kufanya hivyo amri ya Mungu wa kweli yasema. Bonge la movie ya kichekesho ya kila siku na milele mpaka wanakufa. check kisha tucheke. Slaves, obey your earthly masters with...
  15. T

    fantasy ya Mungu wa bandia

    Hei, vipi!!?? Mungu atapaa chini lini wenye hayo maluelue na kumsuburi wapae naye mbinguni na kuwalisha duniani kimiujiza bila kufanya kazi, WAKATI MUNGU WA KWELI ANASEMA, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE, NA MBINGUNI NI KWA NJIA YA KIFO TU!!?? Hivi, waliokufa sasa hawako mbinguni, wameozeana mpaka...
  16. S

    Ufundi ni kazi iliyobarikiwa na Mungu ila mafundi ndiyo tunazingua

    Ukiitazama dunia na vilivyomo! Unagundua mataba na madaraja ya kibinadamu ni chimbuko kuu la kiufundi! Hata wakristu wanatuambia Mungu "aliumba" Uumbaji ndiyo kazi pekee kubwa ya kwanza kuwepo duniani! Hata Yesu alizaliwa na fundi selemala! Ufundi ni kazi bora sana kuwepo na laiti hata hapa...
  17. F

    Mkuu Le Mutuz tajiri wa roho

    Mkuu, Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu. Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa...
  18. Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  19. L

    Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  20. Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

    Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu. Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache. Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…