Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,458
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.

Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?

Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.

Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.

Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.

Matendo 10:34
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
 
Kama kwelii mtu unazo Akili Timamu kamwe huwezi kukaa na kuamini eti Israel ni Taifa la Mungu (Mungu huyu wa Kwenye biblia Labda kma mwengine sawa).

Haya yanayo tokea duniani yanatrigger many questions juu ya Mungu huyu wa Kwenye vitabu vya Dini.
#isome reply yang kwa makini
 
Na haya maswali tuliyonayo, hapa dunia bado hakuna wa kujibu, tuendelee kuishi tu
 
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.

Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?

Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.

Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.

Kwa hakika Mungu hana ubaguzi

Matendo 10:34
Kwa hiyo uchokoze uachwe!!???
Kipigo pale pale. Akuanzae mmalize
 
Wapi nimekuuliza ww?
Kwa kukusaidia soma Kutoka 4:
22, Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;

23, nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.​
 
Na pia kuna baadhi ya watu wanafanya makosa makubwa sana kuwafananisha hao Mayahudi na dini ya Kikristo.
Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
 
Back
Top Bottom