Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 668
- 1,505
Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso.
Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia.
Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, including vitabu ambavyo wakristo wengi hawasemi (apocrypha: Mfano: vitabu vya Enoch, na Injili ya Thomas) shetani ameua watu 10 tu!!! Watoto wa Ayubu... Basi.
Kwa kuangalia vitabu canonical tu (Vitabu 66 vinavyosomwa na madhehebu yote) Mungu ameua watu 2,476,633 ambao wametajwa kwamba wameuliwa na mungu au wameuliwa kwa amri ya mungu. Na hii haihesabu watu waliokufa kwenye gharika, au mauaji ambayo idadi haikutajwa.
Israel wanafanya exactly walichoambiwa wafanye kwenye biblia. Kuua watu wote wasio Waisraeli wanaojaribu kuishi eneo la Levant (Caanan).
So, kama unataka kujua mungu wa biblia ni mungu gani, angalia wanachofanya sasa hivi Israel. Huyo ndio mungu wa Biblia. Mungu wa kifo na sio uzima. Mungu wa vita na sio amani.
ASILI KWANZA!