mungu

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Kwaresma Njema, Mungu akajibu hitaji lako

    Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu! Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki.
  2. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Naipenda CCM, Mungu aibariki

    Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi. Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi. Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  5. Achapombe cha pombe

    JamiiForums Tanzania Huku ni kumtafuta Mungu katatizo

    Unawdzaje kuandika sentence hii. Kuna watu wanakosaga Cha kuandika.
  6. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

    Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao. 1. Tundu Antipas Mughway Lissu. Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
  8. Kollebundle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ukipewa maisha duniani tambua ya kuwa Mungu amekuamini

    Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa. Fahamu ya kuwa Kuna...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni. Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
  11. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Fuateni Mafundisho ya Neno la Mungu na siyo Maombezi ya Miujiza ya Uwongo na Kweli

    Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania. Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kuhusisha kitabu cha dini

    Wakuu nimejaribu kufikiri kwa logic ndogo tuu ili kutoa uthibitisho wa mungu kwa kutumia laws of nature tujadili. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga njaa kuna shibe kila kitu kina kinyume chake ,,,sasa hakuna mtu aliyewahi kumouna Mungu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kutumia vitabu vya dini

    Nimejaribu kuleta mjadala wa kichwa husika hapo juu.tujadili.kwakutumia logic ya kawaida pamoja na laws of nature ilikuonesha uwepo wa Mungu bila kuhusisha kitabu chochote cha dini fuatilia. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina kuwa na opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga...
  16. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

    Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo. Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya boom (kiinua mgongo), with hope nitakuja kutoboa tu. But kitaa ndio hichoo kikaniita mzee. Daah mdogo...
  17. Gotze Giyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni kusudio la Mungu

    Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni...
  18. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Kilimo ndiyo kazi pekee Mungu alituagiza tufanye ili tuishi

    Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia. Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
  20. 1karzma

    JamiiForums Tanzania Sita Ya Mungu

    Hapo zamani za kale, katika kijiji kidogo kilichokuwa milimani, kuliishi mwanamke mmoja aliyeitwa Mariamu. Mariamu alikuwa mtu mwenye fadhili na mpole, aliyependwa na watu wote kijijini. Hata hivyo, jambo moja ambalo sikuzote lilikuwa kizito moyoni mwake ni kutokuwa na uwezo wa kupata watoto...
Back
Top Bottom