mungu

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye ekaristi takatifu ni Yesu au Mungu katika nafasi tatu??

    Kwa wakristo wanaoamini Imani ya TRANSUBSTANTIATION, kwenye mkate na divai, pale ni Yesu peke yake yupo? Maana Mungu ni mmoja na hagawanyiki. Basi tulipaswa kusema pale Yuko Mungu katika ukamilifu wake, katika nafsi zote tatu, ama sivyo basi yupo Yesu katika Hali yake ya kibinadamu tu na umungu...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kupeleka chakula kwa mwenzako wakati wewe una njaa ni wema au unafiki?

    Hivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Sasa nami GENTAMYCINE nauliza je, kutoa Msaada wa Chakula...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya huyu jamaa, kweli tutafute pesa sana na usimwache Mungu

    Amani kwako. Ramadan Mubarak. Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi. Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
  6. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Zumaridi ni mungu asiye na mbingu yake hadi anaenda kwenye mbingu ya Mungu mwingine

    Zumaridi ameudhihirishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni mhitaji wa tiba ya afya ya akili. Zumaridi amekuwa akijibasibu kwamba yeye ni mungu na amekuwa akipata wafuasi ambao wanamuamini na kumheshimu. Pia wapo ambao wamediriki kuachia shughuli zao zote za kimaendeleo ili tu wamtumikie Zumaridi...
  7. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Sikujua Urusi ni chaguo pekee la Mungu kwa karne hii

    Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi hasa linapokuja suala la mzozo wa Ukraine na Russia. Ila kwa furaha sana baada ya kufuatilia fact...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, Taifa Stars haihitaji Hamasa na Maombi kwa Mungu bali Maandalizi makubwa na Utayari wa Wachezaji

    Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote. Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu wenye akili (akina GENTAMYCINE na wengineo hapa JamiiForums) unatuambia tufanye maombi (dua) ili...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli nikikuangalia naona upendo, nikikusikiliza nasikia upendo; Mungu akubariki sana!

    Kupitia TBC jana, katika kipindi kinachozungumzia yaliyojiri wiki hiyo, nimekuona ukiwa katika ibada/misa ya kumuombea marehemu mume wako ambaye pia alikuwa raisi wa JMT. Ulipokaribishwa mbele kwa ajili ya kutoa neno, kinywa chako kilinena vema kabisa. Katika mengi uliyoongea, kamwe hukusahau...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Maarifa na Ubobezi wa Wanyama na Wadudu hebu nisaidieni katika hili Nielimike

    1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
  11. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Wao wana pesa sisi Tuna Mungu

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 kama niko sahihi, Jimbo Arusha mjini lilikumbwa na kumezwa na usemi "Wao wanapesa sisi tuna Mungu". Usemi huu dhahiri ukaja kutumika kufanya kampeni ya kijana mmoja aliye na sura ya upole, mwenye mwonekano wa mapigano ya hoja ya kuweza kusemea na kuwakilisha Jimbo la...
  12. McCollum

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

    Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa? ======================= Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

    Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu. Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

    Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI! Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete. Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nick Cannon asema Mungu ndiye ataamua idadi ya Watoto atakaokuwa nao

    Mtangazaji #NickCannon akifanya mahojiano na kipindi cha #EntertainmentTonight, amesema suala la idadi ya Watoto halimhusu yeye na hivyo hawezi kusema kama amefikia mwisho wa kupata wengine. Kuhusu malengo ya Watoto wake hapo baadaye, Rapa na Mwigizaji huyo amesema wakikua wataamua wenyewe kitu...
  17. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

    Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu. Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki? Kuna kipindi...
  18. Mulama

    JamiiForums Tanzania Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  20. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019. Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
Back
Top Bottom