Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana .

Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa mingi ikiwemo Waamori ,wahiti,wayebusi ,nK.dhambi yao hawa ilikuwa kuabudu miungu mingine .

Mungu aliahidi huwapa Israel nchi hii ya Kanani kwa sharti kwa mbaki wasiabudu miungu mingine kama mataifa wenyeji ya nchi ile.na Ili wasijifunze kama mataifa haya yenye kuabudu miungu mingine walipewa agizo la kuwaangamiza wote wenyeji wataifa lile.

Tunatakiwa kuelewa kamba Israel ni taifa la Mungu ambalo lilitengenezwa na Mungu mwenyewe kuwapa wayahudi kama alivyomwahidi Ibrahim ambaye dini zote hasa uislam na ukristo zinaamini kuwa ni nabii mkuu baba wa Imani .unaposema unataka kuifuta Israel kwenye ramani unajidanganya mwenye .this is impossible and shall never happen in the human history.

Mungu hakutengeneza uadui Kati ya mwislam na mkristo Hata siku Moja .ikubukwe kwamba Israel na Palestina zimekuwepo kabla ya ukristo na uislam.sasa nashangaa ninapoona mwisalam anamchukia mkristo kwa sababu eti Israel inapigana na Hamass ( Palestina) .Huku nikuendeleza matatizo ya babu zetu Yani upagani.

Prophet Muhammad hakuhubiri Hata siku Moja uadui Kati ya mkristo na mwislam.

Kizuri zaidi Yesu ( issa bin Mariam ) alihubiri amani tena upendo wa ajabu Kati ya watu mwisalam na mkristo .ndiyo maana alisema mpende jirani yako kama nafsi yako .kama tungemwelewa Yesu Issa Bin mariam na Mohamed mtume wa Allah vita hizi za kijinga zisingekuwepo Hata kidogo .

Sasa ulimwengu unataabika kwa sababu ya kumkataa Mungu na na kutowaelewa mitume wake wakuu hawa wawili Yani Yesu na Mohamed.

Ukitaka kujua kuwa mwanadamu hatumii akili ni pale mwislam anaishi kwa amani na mkristo katika mataifa ya kikristo lakini akisikia ugomvi Kati ya Israel na Palestina analipuka kama mtungi wa gesi eti mwislam anaonewa na mkristo ( muyahudi ) .Sasa kama lengo lingekuwa kumwonea mwislam si angeonewa hata kuko nchi za magharibi au nchi zenye wakristo wengi ?

Nashangaa hata hawa mabalozi wa Palestina ,Iran ,Saudi arabi,uturuki ,rassia nK hawajifunzi kutoka nchi za Africa ambako mkristo ba mwislam wanakaa meza moja ofisini kupiga kazi na kupiga stori!

Dini zetu hazikupaswa kutugombanisha.Hapa ndipo naiona katiba yetu ya Tanzania ikimheshimu Mungu ya kila mtanzania anaruhusiwa kuabudu anachokitaka ilmradi asivunje Sheria ya nchi!

Niwaombe wakristo kwa wa Islam tujitenge mbali na ugomvi Kati ya Palestina na Israel na badala yake tuendelee kuwaelimisha wajue kuwa mpalestina na myahudi ni ndugu maana Mungu ni mmoja kwa wote tena ni mwenye upendo kwa wote
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
 
Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana .

Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa mingi ikiwemo Waamori ,wahiti,wayebusi ,nK.dhambi yao hawa ilikuwa kuabudu miungu mingine .

Mungu aliahidi huwapa Israel nchi hii ya Kanani kwa sharti kwa mbaki wasiabudu miungu mingine kama mataifa wenyeji ya nchi ile.na Ili wasijifunze kama mataifa haya yenye kuabudu miungu mingine walipewa agizo la kuwaangamiza wote wenyeji wataifa lile.

Tunatakiwa kuelewa kamba Israel ni taifa la Mungu ambalo lilitengenezwa na Mungu mwenyewe kuwapa wayahudi kama alivyomwahidi Ibrahim ambaye dini zote hasa uislam na ukristo zinaamini kuwa ni nabii mkuu baba wa Imani .unaposema unataka kuifuta Israel kwenye ramani unajidanganya mwenye .this is impossible and shall never happen in the human history.

Mungu hakutengeneza uadui Kati ya mwislam na mkristo Hata siku Moja .ikubukwe kwamba Israel na Palestina zimekuwepo kabla ya ukristo na uislam.sasa nashangaa ninapoona mwisalam anamchukia mkristo kwa sababu eti Israel inapigana na Hamass ( Palestina) .Huku nikuendeleza matatizo ya babu zetu Yani upagani.

Prophet Muhammad hakuhubiri Hata siku Moja uadui Kati ya mkristo na mwislam.

Kizuri zaidi Yesu ( issa bin Mariam ) alihubiri amani tena upendo wa ajabu Kati ya watu mwisalam na mkristo .ndiyo maana alisema mpende jirani yako kama nafsi yako .kama tungemwelewa Yesu Issa Bin mariam na Mohamed mtume wa Allah vita hizi za kijinga zisingekuwepo Hata kidogo .

Sasa ulimwengu unataabika kwa sababu ya kumkamataa Mungu na na kutowaelewa mitume wake wakuu hawa wawili Yani Yesu na Mohamed.

Ukitaka kujua kuwa mwadamu hatumii akili ni pale mwislam anaishi kwa amani na mkristo katika mataifa ya kikristo lakini akisikia ugomvi Kati ya Israel na Palestina analipuka kama mtungi wa gesi eti mwislam anaonewa na mkristo ( muyahudi ) .Sasa kama lengo ingekuwa kumwonea mwislam si angeonewa hata kuko nchi za magharibi au nchi zenye wakristo wengi ?

Chifu mara ya mwisho nimepita kwenye makabrasha yangu Wayahudi/waislael hawautambui ukristo achilia mbali huyo yesu.

Mwislam ndio anayeambana na Myahudi huyu Mkristo hayupo pichani.

Mkristo na Muislam ni stori ya siku nyingine.
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Shukran sana chief nimelisema hili mara nyingi sana sikupata muumini mwenza Hadi niliposoma komenti yako
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Kwani nini maana ya mkristo? Mbona kama unapotea? Mkristo ni mfuasi wa Yesu aliye Kristo.
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga

Unaelewa maana ya Mkristo. Mkristo ni mfuasi wa Yesu Kristo. Ndio maana wanaitwa Christians. Mkristo ni mwanafunzi na mfuasi wa Yesu Kristo.
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Sasa na wewe lini uliskia yesu ni mkristo umevimbiwa magimbi au sio.
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Rudi sunday school tena. Ukisoma matendo ya mitume 11:25-26.
"Kisha Barnaba akasafiri kwenda Tarso kumtafuta Sauli. 26 Alipompata akaja naye mpaka Antiokia. Na wote wawili wakakaa huko kwa mwaka mzima, wakiwafundisha wengi walioamini katika kanisa la Antiokia. Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa ‘Wakristo’ kwa mara ya kwanza."
Yesu hakuleta dini ya ukristo, yeye alikuja kuhubiri ufalme wa mbinguni kwa wanadamu,sasa wale waamini huko antiokia walikuwa wanawaita wafuasi au walioamua kumfuata Yesu kuwa ni wa Kristo.
 
Yaani ulichofanya nikunisaídia kutoa ufafanuzi wa nilichokuwa namaanisha,uko sahihi,point ysngu ni kuwa israel ni ya jews sio ya wakristo
 
Wakristo waliopo israel hawazidi 2%.
Majority ni jews.
Wanafuata waislam
Ugomvi wa wayaudi na wapalestina wakristo hauwahusu.
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Ni kweli Yesu hakuwa Mkristo na Wala hakuleta Ukristo Bali alileta Wokovu.Shida Mtume Paulo kutaka wafuasi wa Yesu kuitwa Wakristo.Kumbe hatujui maana ya Wokovu hasa Nini.Hilo linadhiirishwa na Wakristo kuendelea kufanya dhambi Kwa kutofuata Ile amri kuua ya Yesu kristo.Kama kweli Wakristo wangekuwa wafuasi wa Yesu Kristo kama Mimi basi Tungeombea amani na sio kufurahi huu mgogoro huku wakinasibisha na Maandiko wakati watoto,wazee na akina mama wa Islael na Palestine wakifa bila hatia.Tuombee Hawa majirani siku Moja waishi Kwa amani kama ilivyo sisi na jirani zetu.
 
Israel hakuna wakristo kihivyo,wakristo wanajinadabisa na dini ya Yesu sababu Yesu alikuwa myaudi,siku tukijua Yesu hakuwa mkristo tutaacha huu ujinga
Kimsingi Wakristo ni wafuasi wa Yesu Kristo, na Yesu ndiye mwanzilishi wa Kanisa..

Mathayo 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana .

Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa mingi ikiwemo Waamori ,wahiti,wayebusi ,nK.dhambi yao hawa ilikuwa kuabudu miungu mingine .

Mungu aliahidi huwapa Israel nchi hii ya Kanani kwa sharti kwa mbaki wasiabudu miungu mingine kama mataifa wenyeji ya nchi ile.na Ili wasijifunze kama mataifa haya yenye kuabudu miungu mingine walipewa agizo la kuwaangamiza wote wenyeji wataifa lile.

Tunatakiwa kuelewa kamba Israel ni taifa la Mungu ambalo lilitengenezwa na Mungu mwenyewe kuwapa wayahudi kama alivyomwahidi Ibrahim ambaye dini zote hasa uislam na ukristo zinaamini kuwa ni nabii mkuu baba wa Imani .unaposema unataka kuifuta Israel kwenye ramani unajidanganya mwenye .this is impossible and shall never happen in the human history.

Mungu hakutengeneza uadui Kati ya mwislam na mkristo Hata siku Moja .ikubukwe kwamba Israel na Palestina zimekuwepo kabla ya ukristo na uislam.sasa nashangaa ninapoona mwisalam anamchukia mkristo kwa sababu eti Israel inapigana na Hamass ( Palestina) .Huku nikuendeleza matatizo ya babu zetu Yani upagani.

Prophet Muhammad hakuhubiri Hata siku Moja uadui Kati ya mkristo na mwislam.

Kizuri zaidi Yesu ( issa bin Mariam ) alihubiri amani tena upendo wa ajabu Kati ya watu mwisalam na mkristo .ndiyo maana alisema mpende jirani yako kama nafsi yako .kama tungemwelewa Yesu Issa Bin mariam na Mohamed mtume wa Allah vita hizi za kijinga zisingekuwepo Hata kidogo .

Sasa ulimwengu unataabika kwa sababu ya kumkamataa Mungu na na kutowaelewa mitume wake wakuu hawa wawili Yani Yesu na Mohamed.

Ukitaka kujua kuwa mwadamu hatumii akili ni pale mwislam anaishi kwa amani na mkristo katika mataifa ya kikristo lakini akisikia ugomvi Kati ya Israel na Palestina analipuka kama mtungi wa gesi eti mwislam anaonewa na mkristo ( muyahudi ) .Sasa kama lengo ingekuwa kumwonea mwislam si angeonewa hata kuko nchi za magharibi au nchi zenye wakristo wengi ?

Nashangaa hata hawa mabalozi wa Palestina ,Iran ,Saudi arabi,uturuki ,rassia nK hawajifunzi kutoka nchi za Africa ambako mkristo ba mwislam wanakaa meza moja ofisini kupiga kazi na kupiga stori!

Dini zetu hazikupaswa kutugombanisha.Hapa ndipo naiona katiba yetu ya Tanzania ikimheshimu Mungu ya kila mtanzania anaruhusiwa kuabudu anachokitaka ilmradi asivunje Sheria ya nchi!

Niwaombe wakristo kwa wa Islam tujitenge mbali na ugomvi Kati ya Palestina na Israel na badala yake tuendelee kuwaelimisha wajue kuwa mpalestina na myahudi ni ndugu maana Mungu ni mmoja kwa wote tena ni mwenye upendo kwa wote

1 . Mgogoro wa Palestina na Israel sio mgogoro wa kidini, ukiona mtu analalia upande wa dini kama wewe hiv ujue uelewa.

2. Abraham hakuwa mkristu, hakuwa Muislamu wala hakuwa Myahudi, Haya madini yenu yalikuja baadae kabisa tena akiwa ameshaondoka ulimwenguni.

3. Biblia ni kitabu kitakatifu kwako sio cha watu wote hapa ulimwenguni kwamba kinaweza kuwa na uhalali kwa wabudha, waorthodox, Waislamu nk

4. Sio kila mkristo yupo upande wa Israel! mi nakuandikia hapa ni mkristo tena mroma ila niko upande wa Palestina! Mwal Nyerere alikuwa mkristo ila alisimama na Palestina.
 
Back
Top Bottom