Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu )

Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14 Oktoba, 2023 ) Mikoa Kumi na Tatu ( 13 ) ya Tanzania ( ukiwemo niliopo wa Dar es Salaam ) tulitakiwa tuwe tunaelea katika Mito na Bahari huku Vibanda vyetu / Nyumba zetu zikiwa zimebomoka na Kusombwa na Maji kutokana na Mafuriko makubwa na ya Hatari kama ambavyo tulitaarifiwa na Kutahadharishwa ila imekuwa ni tofauti. ( Asante Mungu )

Na kwa mujibu wa Nujumu ( Kuchungulia Kwangu Kiutamaduni kwa Babu ) nimehakikishiwa kuwa hakutakuwa tena na Mvua Kubwa na ya Hatari ya El Nino na kama itanyesha itakuwa ni ile ya Kawaida tu na haitokuwa na Madhara yoyote.

Tuendeleni Kupiga Kazi kwa Amani.
 
Binafsi kuna mtu akiwahi niambia hiki kitu kipindi kile cha Corona wazungu walipo ihakikishia dunia kuwa watanzania wengi watakufa na miili itatapakaa barabarani!
 
Ni kweli... hakika tumebarikiwa
Mvua ya El Nino haitokuja tena Tanzania. Niamini Mimi na kuweni na Amani. Mwenyezi Mungu anaipenda Tanzania na anatupenda Watanzania. Itakayonyesha ni ile ya Kawaida tu na haitokuwa na Madhara kama tuliyokuwa tunayatazamia.

GENTAMYCINE nikisema niamini 100%
 
🤣🤣🤣We, sema kweli?
 
Ukweli mtupu mkuu GENTA!..., 👍🏾👍🏾👍🏾

ila tukitaka kuwatengenezea kesho iliyo bora wajukuu ni bora tuwakimbizie duniani tu! Maana hapa kuna wapuuzi wameshajimilikisha nchi na koo zao... wanakula wao tu
 
Ni kweli,hata kipindi cha jpm nchi jilani zoote zilikumbwa na nzige,lkn kwa Tanzania zilikomea holoholo na kurudi kenya,lkn kulikuwa na kimbunga ilikuwa kilikumbe eneo loote la mafia,kilwa na dar,lkn mungu alipisha mbali.

Hivyo ni kweli,Tanzania ni nchi ya mungu,inalindwa na mungu,
Kuna Watu hapa watadhani GENTAMYCINE nafanya tu Mizaha yangu ila nawahakikishieni Majanga yote makubwa yatatokea Duniani ila siyo kwa Tanzania kwani Tanzania ni nchi ya Mungu na Mwenyezi Mungu anawapenda sana Watanzania.

Wote tuseme Amen / Amina Kwake.
 
Ila watu wagomvi khaaa..

Ukisikia insane or mad with consciousness ndio hivyo
Endelea tu na Wewe kunitafuta na utanipata tu sawa? Nakuangalia tu ili ujae vyema katika Frame na nifyatuke mazima nawe.
 
Back
Top Bottom