Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote
Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma mama yake kula yake hapo nyumbani mwaka unaanza mpaka unaisha anamtegemea mama
Siku ile ilibidi nimuulize kwanini hajishughulishi kutafuta chochote maneno aliyoniambia niliona pia ni msingi kwa kijana yule kijana wa miaka 28
Alisema ata ukijituma kufanya kazi kama wakati wa Mungu haujafika hauwezi kufanikiwa
Yeye haoni sababu ya kujiangaisha na maisha wala kujipa stress mana ata akipata mali maisha mafupi wapo watakao kuja kufuja mali zake
Haya ni mawazo ya kijana huyu je yupo sahihi