Israel si taifa la Mungu, Palestina taifa teule?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao.
Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic God kwamba Mungu ni mmoja.

Miaka 630 baadaye, mwarabu mmoja anasoma torah na injili (yeye akawaita watu wa kitabu), akafanya remix (plagiarism) akasema ameshushiwa na Mungu 😃😃😃😃

Everything in the bible and quran revolve around Jews, hata maagizo ya kutokula kitimoto walipewa Wayahudi (Musa) siyo mtume.​

Daudi Myahudi
Sulemani myahudi

Ardhi ya wayahudi....Jerusalem iliyengwa na Mfalme Daudi akapafanya kuwa makao makuu ya taifa.
#Israel Taifa teule.
 
#Israel Taifa teule.
Screenshot_20230515-172320.png
 
Magaidi mnahangaika sana kujipa moyo

Hahahah


Israel sio ya magaidi, israel sio ya waislam, israel sio ya muarabu.
 
Watu wengi kwa kukosa maarifa hawajui ni kwanini Israel linaitwa taifa teule la Mungu
Wengi wanahoji kwanini liwe taifa la Mungu wakati wa Israel hawamchi Mungu, pia sio wa kristo na walimuuwa na kumkataa Yesu
Pia wengine wanasema Israel ni taifa la mashoga, ushoga umejaa tele kwanini liitwe taifa la Mungu

Ndugu msomaji, pamoja na yote yanayoendelea ndani ya Israel au kwa wa Israel, yaani ushoga na Mambo mengine, ahadi ya Mungu kwa Israel iko pale
Ni kweli taifa la Israel limemuasi Mungu, hilo halifichiki lakini Mungu alishafanya agano na hili taifa (soma warumi 11:28)
Agano hili litatimizwa kipindi cha dhiki kuu. Wa Israel wote watamuamini Yesu na kuokolewa.

Shetani anaijuwa Siri hii ndiyo maana kuna matamshi mbalimbali ya kujaribu kulifuta taifa la Israel🇮🇱. Haya Mambo hayajaanza Leo. Wa Israel Wamepitia maafa mengi Sana karne na karne. Shetani kwa kutumia Adolf Hitler alijaribu kuwatekeza na kuwamaliza lakini ilishindikana.

Hata sasa hivi ni kitu kilekile. Tumeona Iran wakitoa matamko ya kutaka kulifuta Israel lakini inashindika. Kwanini? Taifa la Israel linalindwa na Mungu. Unabii mpaka utimie. Ndiyo maana mataifa yote ya kiaarabu wanatamani kupigana nalo Vita lakini wanajuwa kabisa hawawezi.

Mataifa yote ya kiaarabu yanajuwa kanisa hayawezi kupigana Vita na Israel wakawa salama. Hata huyo Iran hawezi.

Ndugu msomaji, nyuma ya Israel kuna Mungu. Ukijaribu unapambana na mkono wa Mungu
 
Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao.
Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic God kwamba Mungu ni mmoja.

Miaka 630 baadaye, mwarabu mmoja anasoma torah na injili (yeye akawaita watu wa kitabu), akafanya remix (plagiarism) akasema ameshushiwa na Mungu

Everything in the bible and quran revolve around Jews, hata maagizo ya kutokula kitimoto walipewa Wayahudi (Musa) siyo mtume.​

Daudi Myahudi
Sulemani myahudi

Ardhi ya wayahudi....Jerusalem iliyengwa na Mfalme Daudi akapafanya kuwa makao makuu ya taifa.
#Israel Taifa teule.

Aliliteua nani?
 
Aliliteua nani?
Mungu.
Kuzungumzia taifa la Isreali, Kumbumbuku La Torati 7:7-9 yatuambia, “BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu.”

Mungu alilichagua taifa la Israeli kuwa watu ambao kupitia kwao Yesu Kristo atazaliwa- mwokozi kutoka kwa dhambi na kifo (Yohana 3:16). Mungu kwanza aliahidi Masia baada ya Adamu na Hawa kuanguka katika dhambi ( Mwanzo mlango wa 3). Mungu baadaye alithibitisha kuwa Masia atakuja kutoka kwa uzao wa Abrahamu, Isaka, na Yakobo (Mwanzo 12:1-3). Yesu Kristo ndiye sababu kuu ya Mungu kuichagua Israeli kuwa watu wake malaamu. Mungu hakustahili kuwa na watu wateulie, lakini aliamua kufanya namna hiyo. Yesu alistahili kukuja kutoka kwa taifa la watu fulani na Mungu akachagua Israeli
 
Back
Top Bottom