Mungu ametupuuza sana watu weusi

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Hello!

Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika.

Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa au amedharauliwa na Muumba wake.

Mungu ametupa akili ndogo kuliko watu weupe. Most of Chinese contractors wanaojenga fly over, wanaojenga high ways na mijengo mbalimbali wana elimu ya kawaida tu, ni diploma za civil engineering lakini uwezo wao unazidi uwezo wa Prof. wa civil engineering wa UDSM kwenye vitendo/site.

Kongo ina wasomi wengi wa mambo ya siasa na fani zingine lakini wameshindwa kutumia akili zao kumaliza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ili wavune rasilimali zao za asili. Kuna mahali Kongo kuna milima ya dhahabu na madini mengine lakini ufukara unawala sana.

Watu weusi wa Zimbabwe dhahabu zimeshindwa kuwaondoa kwenye ufukara na mfumuko wa bei. Zimbabwe viongozi na wanadiplomasia wanatumia nafasi zao kutorosha dhahabu. Wao wanakuwa mabilionea huku wenzao wakifa kwa kukosa dawa hospitalini.

Watu weusi wa Tanzania wameshindwa kutumia reserve ya gesi asilia kukomesha mgao wa umeme na kukomesha matumizi ya mkaa majumbani.

Mifano ni maelfu kwa maelfu. Kwa ufupi Mungu ametupuuza Waafrika weusi. Leo hii Mwafrika anajiita Nabii na wanaotoa vibali wanapewa pesa ya rushwa wanamsajili ili awatapeli Maskini wenzake.
Jela za Marekani zimejaa watu weusi licha ya uchache wao katika Taifa la Marekani. Nasikia tabia za ulevi usio na staha, matusi, kupigana , uuaji, mihadarati na wizi ndio vinawaja jela.

Kuna watu wanadhani mfumo wa elimu yetu ndio huzaa wasomi wasio na kitu cha kutoa katika jamii kumbe sio ni matokeo tu ya mtu mweusi.

Kuna wasomi wengi tu wa hapa nchini master's na PhD wamechukua huko ng'ambo lakini hawana cha kutoa katika jamii zaidi ya story za kule ulaya, kule Marekani, kule India. Wanaishia kuongea hivyo tu.
 
mkuu,kwanza nikukumbushe,nia yao watu weupe ya kukufanya wewe uwaone wao ni bora kukuliko imefanikiwa kwa asilimia 100%.

wacha nikuweke sawa.

elimu na mifumo yote ya kuongeza ufahamu,wao ndio waanzilishi,hakuna namna inapoletwa kwenu itaachwa iwe katika mlengo unaowafaa wao,maana wanajua ngozi nyeusi ni bora katika upande gani(wanaogopa),hivyo mbinu ambayo hutumiwa ni kuvuruga mifumo ya elimu kupitia viongozi(matumbotumbo),na kuiondolea ubora unaotakiwa kabisa.

angalia china na japan,wao mfumo wao ni mtoto chini ya miaka 5 anafundishwa elimu ya mahusiano tu sio kusoma wala kuandika,ndipo uzalendo na siha njema mtoto anakua nao kuanzia hapa.huu ni mfumo waliuchagua wao wakauandaa uwafae wao.sisi tunabeba mitaala ya kujifunza lugha ya kiingereza badala ya kujifunza ujuzi na taaluma za kwao.sijui kiingereza kina faina gani na maendeleo yetu!!!

tabia hii ya kutothamini vya kwetu imeingia damuni,mpaka aliyefanikiwa kusoma kwao uzunguni anaona ni heri abaki huko,kuliko kuja kufanya kitu nyumbani.

nikukumbushe uwezo wa mtu mweusi.
angalia sekta za kichezo na burudani,waty weusi wametamalaki huko,hii ni kutaka kukumbusha tunaweza kufanya mambo makubwa sana nje ya elimu tulizoletewa,muhimu kujiamini tu.

hawa viongozi mawakala ndio wanasababisha africa miaka nenda rudi imesimama tu,ndio maana walipojitokeza watu kama akina jpm ikabidi lifanyike jambo kwa haraka ili mambo yasiharibike.
 
Hivi inawezekana kweli huyo Mungu akaumba watu wake(all ethnicities) kwa kubagua?

Unajua huyu Mungu, kama kweli alituumba, kuna mambo itabidi tumhoji sana siku tukionana nae, haiwezekani kuna superiors na inferiors wakati muumba ni mmoja. Makes no sense at all.
 
Mkuu tusmlaum Mungu ase.

Niliwahi kufanya kazi na mchina pale bandarini miaka miwili iliyopita akawa ananiuliza au mimi syo mtanzania tena dar? Nikamuuliza kwanini.?

Akaniambia hakuna watu wavivu kama watu weusi kwenye kazi,yaani haiwez kuisha wiki hajasingizia mtoto,baba,mama,au ndugu yoyote anaumwa kwa lengo tu asiingie kazini.

Akaniambia hakuna mtu ambae amewahi kudhurika kwasababu ya kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma yeye mwenyewe na ilihali ameridhia kulipwa anacholipwa.

Akaongeza tena kwamba,mtu yoyote anaejituma na kupata kitu chake kwa halali hutokuja kuskia ameiba,amedhurum mtu au amewasaliti watu wake kwa namna yoyote ile kwasababu anakuwa anajua uchungu wa mapambano katika maisha
 
Mungu hayupo.

Hakuna Mungu anaye toa Akili kwa watu.

Binadamu wote tuna akili na uwezo sawa

Watu weusi wana ujinga wa kuto kushughulisha akili zao kutokana na mfumo walio aminishwa na watu weupe kwamba sisi ni duni.

Mfumo huu umerithiwa kizazi mpaka kizazi kiki amini ngozi nyeusi haiwezi kitu.

Fuatilia makala za mwanaharakati "Malcom X" kuhusu ni jinsi gani watu weusi wamekuwa Brainwashed kuamini kwamba hatuwezi kitu.

Malcom X alisema kwamba

Waafrika tunapenda kuiga utamaduni na maisha ya wengine kabla ya kupenda vya kwetu.

JamiiForums-371212924.jpg
 
Mkuu,
Najua huwa it's kinda abomination kuongelea mambo ya kimungu, tunaogopa ila huwa tunayawaza. Kuna races zimependelewa, kwani wewe huoni? Leo hii ukitua jiji kama Washington huko, utaona kama sisi tunaishi tu ili mradi.
Dini imeweka hofu kuongelea mambo ya huyo Mungu.

Kwa vile dini ni stori za uongo uongo tu zilizo aminishwa vizazi kwa vizazi kumhusu huyo Mungu.

Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Dini hazitaki kuhojiwa kwa vile kuna ukweli wanaficha.
 
Mungu hana ubaguzi ni sisi wenyewe tumekua wajinga tena washenzi na wapumbavu.Huwezi ukaacha mila na Jadi za wazee wako ukaenda mbali zaiidi hata majina yenu mkaona hayafai tena inafika wakati mnaona mambo ya wazee wenu yalikua ni ya kishetani ila ya wazungu na waarabu ndo safi kabisa.Sasa puuuzi kama hilo linalo fata uarabu na uzungu hakili litapata wapi.Angalia nchi zote zilizo tunza asili zao wako mbali sana kiakili na kimaendeleo angalia China,India,Waarabu ,Na nchi za wazungu ziko juu kwa sababu walitunza vya kwao.Nakupa mfano tu sisi wasukuma wazee wetu walikua wanafuga mpaka ng,ombe 2000 mji wa mtu mmoja je tuliewezaje kufuga hao ng,ombe na hakuna mzungu alitufundisha ni wazee wetu.Sasa walipo kuja wazungu zile dawa na matambiko ya kiasili tuloyokua tunafanya tukaacha leo hii mtu ukiwa na ng,ombe 50 unajiona tajili.
 
Hello!

Kuna mtu mweusi na kuna Mwafrika, hawa ni watu wawili tofauti. Unaweza ukawa mwafrika lakini usiwe mtu mweusi na unaweza kuwa mtu mweusi lakini usiwe mwafrika.

Nazungumzia mtu mweusi bila kujali ni raia wa nchi/bara gani. Mtu mweusi amepuuzwa na MUNGU, kwa lugha rahisi tuseme ameshushwa au amedharauliwa na Muumba wake.

Mungu ametupa akili ndogo kuliko watu weupe. Most of Chinese contractors wanaojenga fly over, wanaojenga high ways na mijengo mbalimbali wana elimu ya kawaida tu, ni diploma za civil engineering lakini uwezo wao unazidi uwezo wa Prof. wa civil engineering wa UDSM kwenye vitendo/site.

Kongo ina wasomi wengi wa mambo ya siasa na fani zingine lakini wameshindwa kutumia akili zao kumaliza migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ili wavune rasilimali zao za asili. Kuna mahali Kongo kuna milima ya dhahabu na madini mengine lakini ufukara unawala sana.

Watu weusi wa Zimbabwe dhahabu zimeshindwa kuwaondoa kwenye ufukara na mfumuko wa bei. Zimbabwe viongozi na wanadiplomasia wanatumia nafasi zao kutorosha dhahabu. Wao wanakuwa mabilionea huku wenzao wakifa kwa kukosa dawa hospitalini.

Watu weusi wa Tanzania wameshindwa kutumia reserve ya gesi asilia kukomesha mgao wa umeme na kukomesha matumizi ya mkaa majumbani.

Mifano ni maelfu kwa maelfu. Kwa ufupi Mungu ametupuuza Waafrika weusi. Leo hii Mwafrika anajiita Nabii na wanaotoa vibali wanapewa pesa ya rushwa wanamsajili ili awatapeli Maskini wenzake.
Jela za Marekani zimejaa watu weusi licha ya uchache wao katika Taifa la Marekani. Nasikia tabia za ulevi usio na staha, matusi, kupigana , uuaji, mihadarati na wizi ndio vinawaja jela.

Kuna watu wanadhani mfumo wa elimu yetu ndio huzaa wasomi wasio na kitu cha kutoa katika jamii kumbe sio ni matokeo tu ya mtu mweusi.

Kuna wasomi wengi tu wa hapa nchini master's na PhD wamechukua huko ng'ambo lakini hawana cha kutoa katika jamii zaidi ya story za kule ulaya, kule Marekani, kule India. Wanaishia kuongea hivyo tu.
Wewe unacho kisema lakini unakijuwa ? unazungumza kwa akli ya timamu au una matatizo ya akili?mbona unakufuru kusema kuwa Mungu ametupuuza sisi watu weusi maneno yako ya kukufuru Mungu kama ni Muislam tubu Kwa Mungu kwani umesema maneno ya kumkufuru Mungu lete toba kwa aliye kuumba haraka kabla ya adhabu haijakushukia. Umemkufuru Mungu aliye kuumba kwa kusema maneno yako ya pumba hayo rudi kwa mola wako uombe msamaha kabla adhabu haijakushukia ninakukumbusha .Kwani Ukumbusho ni mzuri kwa wana muamini Mungu.
 
Back
Top Bottom