Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia?

1. The holy scriptures say YES.

MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu"

( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa sayari hii ni nani haswa)

Is money the true God of this planet?

2. The evidence says YES.

Ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kwamba kwenye hii sayari ya dunia kinacho abudiwa ni pesa na sio kingine chochote.

Dini kuu mbili duniani ni ukristo na uislamu ( kwenye maandishi) Lakini on ground dini kuu ni moja tu nayo ni kuabudu pesa.

Ndio maana mkristo au muislamu yupo tayari kuharibu mahusiano yake na Mungu wake ( kwa mujibu wa kitabu chake ) ili mradi atengeneze au aimarishe mahusiano mazuri na Mungu wake halisi ambae ni pesa..

" Nothing can take the place of money in the area where money works" - Andrew Carnegie ( Mentor wa Napoleon Hill)
If you read the above quotation 👆
together with Ecclesiastes 10:19 then you may arrive to a conclusion that " money is the true God of this planet"
 
Pesa ni muhimu sana hapa duniani, ukiwa nayo mfukoni utagundua kuwa pesa si kila kitu ila ukiikosa utaona kuwa pesa ndio kila kitu
 
" whoever says money has never changed them has not got enough of it" Curtis Jackson alias 50 Cents in 2008 ( when his networth was 300 million USDs)
 
Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia?

1. The holy scriptures say YES.

MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu"

( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa sayari hii ni nani haswa)

Is money the true God of this planet?

2. The evidence says YES.

Ukitazama kwa jicho la tatu utagundua kwamba kwenye hii sayari ya dunia kinacho abudiwa ni pesa na sio kingine chochote.

Dini kuu mbili duniani ni ukristo na uislamu ( kwenye maandishi) Lakini on ground dini kuu ni moja tu nayo ni kuabudu pesa.

Ndio maana mkristo au muislamu yupo tayari kuharibu mahusiano yake na Mungu wake ( kwa mujibu wa kitabu chake ) ili mradi atengeneze au aimarishe mahusiano mazuri na Mungu wake halisi ambae ni pesa..

" Nothing can take the place of money in the area where money works" - Andrew Carnegie ( Mentor wa Napoleon Hill)
If you read the above quotation
together with Ecclesiastes 10:19 then you may arrive to a conclusion that " money is the true God of this planet"
Ukiwa na Yesu Pesa utaona haina umuhimu huo..
 
In other hands.
Guys ikiwa we ni kijana wa kikristo usijalaumu sana why uendi church siku hizi.
Roho ya utimilizo wa nyakati ndiyo chanzo cha wewe kutoenda Church kwasababu unatimiza unabii.
Bible haikutabiri watu wote kuwa christians nyakati za mwisho zikikaribia bali ilitabiri Imani za wakristo kupoa na majority kujitenga na Imani.
New Order order is islam.. Utake usitake, Islam itatawala Dunia haya mengine ni mbwembwe tu.

Islam is here to determine the end of this world. Islam haipo kwa Makosa.
Katika sanamu la Daniel falme zote zitakazo pita zilifuniliwa kwa majina yake na kweli zilitokea accordingly ila falme moja tu( ya mwisho) na haukutajwa kwa jina lake bali sifa zake na %100 sifa zake hizo zinaangukia Islam, why mtu ubishe?. sio budha ama hindu.
Ooh. Nimetoka nje ya nilichotaka kukichangia... Ni hivi.
Ukristo halisi upo katika 1 Corinthian 9:27.
Fanya mema yako yote.
Toa zaka na Sadaka kwa uwezo wako wote.
Wape yatima mahitaji yao yote ila usijidanganye kuwa hii ni tikiti ya kwenda Mbinguni. Fanya hayo yote ila mwisho siku utasimama na mla Jicho msitali mmoja kusubiri Hukumu.
Ziishi Amri zote 10 ila usijipige kifuani kuwa sasa umemaliza.
Si kwamba usiyafanye hayo, yafanye usipoyafanya ndiyo unaharibu zaidi.
Ndiyo maana japo Paul kuwa number one katika kusambaza injili kuliko mtu yoyote lakini hajawai kujipa uhakika wa kuiona Mbingu.
Anasema"But I keep under my body, and bring it into subjection: lest that by any means, when I have preached to others, I myself should be a castaway.
Paul hana uhakika nini kinachokupa wewe uhakika.
Shauri yako
 
Watu hawaitumikii pesa

Wanazitumikia tamaa zao mf zinaa, nyumba nzuri, gari ya kifahari nk
 
Ndugu una utani na FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom