Mwaka wa vipawa na nguvu za Mungu

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
4,085
8,481
Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako
Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe.

Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si kigeugeu wa kukupa baadae vitu alivyokukatazia sasa?

Sikia leo achana na mada au comment zangu za kijinga sasa nimebadilishwa na Mungu aliye hai, haijalishi dini yako sijaja kuponda wala kupigia debu ukristo au muislam n.k

Leo nakuletea dawa ya ukimwi, kupooza, ndoto mbaya, magonjwa ya ngozi, roho za urithi na kila aina ya tabu

Je, ungependa nikwambie?

Leo muamini Yesu kuwa BWANA na muokozi wa maisha yako
Kwani huyo ni Mungu asemaye
Huyo ni Mungu wa ishara na miujiza
Ni mtakatifu kuliko uzanivyo
Habadiliki. Ni mwenye haki

Watu waliookolewa kweli sio yule demu ambaye anasema ameokoka alafu unalala naye, sio muimba kwaya alafu anakunywa energy au pombe sio yule binti muongo sio yule mwanamke avaaaye suruali na kujilemba sio yule kaka kutwa kutongoza na kunyoa kiduku na nguo zilizo mshika au kuchania, sio yule nabii au mtume akupage maji au mafuta sio yule muongeaji sana akasirikapo ni yule mkamilifu katika kristo Yesu kama Ayubu hao huongea na Mungu kama waongeavyo na marafiki hujua sifa na utukufu wake

Ole wako wewe ambaye utapita na kupuuza kwakua Bwana Mungu asema hivi hautahesabiwa haki kwa kusema sikuliamini kwani nikinyume na ukristo wangu au uislam au ubuda n.k

Leo sema Yesu ulikufa msalabani kwa ajili yangu na ulimwengu ni upendo mkuu kwani uliacha utukufu wako kwa ajili ya mateso yangu ninatubu dhambi zangu katika jina la Yesu lililo takatifu mno (taja dhambi zako) kisha sema hivi tangu sasa nioshe kwa damu yako takatifu jina langu likawe katika kitabu kile cha dhahabu cha watalatifu nijaze roho ukanifundishe njoa zako na mapenzi yako yote niiepuke dhambi na niupate utakatifu tena litizame neno lako ukalitimize kwangu kwani nimeutafuta uso wako niitue mizigo yangu (anza kutaja shida zako ) kisa sema na mapenzi yako yakatendeke nakushukuru hata kwa muda tu wa maombi haya hakika wewe ni Mungu Mkuu tena mwenye wivu basi wivu wa mapenzi yako yakatembee na mimi ilinisije nikakitenda dhambi katika Jina la Yesu aliebwana na muokozi wangu ninashukuri kwakua nimepokea (taja mahitaji yako) kwa kua imeandikwa ombeni lolote kwa jina langu nami nitalifanya ili baba atukuzwe ndani ya mwana takita jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu Amina

Na heri ya Mungu ikawe kwako usisite kutoa ushuhuda wako hapa tena usibishane katika dini milele yote hapo ndipo shetani huFanya makao

Uombe utajiri na mali za dunia kwakua hilo gari unaloliomba ipo siku linaweza likapata ajali na likakuua vyote ukaviacha tena wekeza mbinguni

YESU NI BWANA
 
Asante sana mtumishi wa Mungu
 
Maisha ya kiroho ni nini?
Nikuishi kwa namna ya roho na simwili kuyafanya mapenzi ya roho kwani roho ya mtu wa Mungu hutamani mema na utakatifu wala haihisi taama ya dhambi tofauti na mwili hivyo kuushinda mwili na kuishi kama vile ni Roho kwa kuupa mwili vitu muhimu tu kama chakula na tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom