Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.

"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?

Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.

Video hiyo hapo.

Sheria inasemaje kuhusiana na masuala ya kichawi? Mtu anapokamatwa kwa tuhuma za kichawi hufanyweje? Itasaidia akipelekwa kituo cha Polisi?
 
Attachments

  • ALIYEFARIKI_2020_AONEKANA_2024,_WANANCHI_WAFURIKA_KUMUONA,_NDUGU_ZAKE_WASIMULIA__ALIGONGWA_NA_...mp4
    18.8 MB
  • WASIMULIA_NDUGU_YAO_ALIYEFARIKI_2020_NA_KUONEKANA_HAI_2024,__TULIMZIKA,_ALIGONGWA_NA_GARI_(240p).mp4
    14.2 MB
Hizo ni drama tu wala sio mara ya kwanza kutokea hapa Tanzania.

Njaa hua zinasababisha watu kufanya mambo ya ajabu. Hapo huyo kapewa hela na mganga ili kumtaftia soko la wateja.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetani.
 
Alifikaje juu ya paa la nyumba ya Mchungaji?

Vipi huyo "aliyeyeyukia" mkononi mwa nduguye Mchungaji?
 
Sijui nani zwazwa zaidi hao wasanii kwenye hizo video wanaotafuta waumini wajinga kama wewe au wewe uliyeamini?

Maishani mwako hutokaa uone mtu akipaa/kuanguka na ungo let alone uthibitisho wowote ule wa Uchawi zaidi ya story za kusadikika na kuaminishana ujinga.
 
Hizo ni drama tu wala sio mara ya kwanza kutokea hapa Tanzania.

Njaa hua zinasababisha watu kufanya mambo ya ajabu. Hapo huyo kapewa hela na mganga ili kumtaftia soko la wateja.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu hakuna cha mungu wala shetani.

Kwakua mnapenda sana “uthibitisho” basi tuletee uthibitisho wa unachokisema juu ya hayo malipo ya mganga kumtafutia soko. Otherwise usituletee simulizi za Eric Shigongo.
 
Sijui nani zwazwa zaidi hao wasanii kwenye hizo video wanaotafuta waumini wajinga kama wewe au wewe uliyeamini?

Maishani mwako hutokaa uone mtu akipaa/kuanguka na ungo let alone uthibitisho wowote ule wa Uchawi zaidi ya story za kusadikika na kuaminishana ujinga.
Mwaka 2007 Singida, tukiwa tumelala kwenye chumba kimoja(tulikuwa kwenye kambi ya kidini) lakini tulikuwa bado yupo macho, na mlango ukiwa umefungwa, mtu aliingia ndani bila mlango kufunguliwa, na karibia wote tuliokuwemo humo mimi nikiwemo tulimwona. Akijaribu kudogelea tulipokuwa tumelala, lakini mmoja wetu aliposema,"katika Jina la Yesu", alitoweka.

Mungu yupo, na uchawi upo, lakini nguvu ya Mungu ni kuu kuliko nguvu zingine zote.

Najua unajua hilo hata kama utaigiza kuwa hujui.
 
Maigizo ya Pwagu na Pwaguzi...
Kama hata Polisi wanaolipwa kwa hela ya Watanzania wanaigiza, basi wanastahili kuchukuliwa hatua.

Kama unaamini kuwa ni "maigizo", kalishitaki Jeshi la Polisi kwa kusema uongo. Kinyume na hapo, ni uthibitisho kuwa unajua nguvu za kichawi hazifui dafu mbele ya nguvu ya Mungu.
 
Mwaka 2007 Singida, tukiwa tumelala kwenye chumba kimoja(tulikuwa kwenye kambi ya kidini) lakini tulikuwa bado yupo macho, na mlango ukiwa umefungwa, mtu aliingia ndani bila mlango kufunguliwa, na karibia wote tuliokuwemo humo mimi nikiwemo tulimwona. Akijaribu kudogelea tulipokuwa tumelala, lakini mmoja wetu aliposema,"katika Jina la Yesu", alitoweka.

Mungu yupo, na uchawi upo, lakini nguvu ya Mungu ni kuu kuliko nguvu zingine zote.

Najua unajua hilo hata kama utaigiza kuwa hujui.

Na hivi ndo story zote za ushirikina zilivyo hearsay. Not even an ounce of proof ni hearsay ya story ya mtu mmoja kwenda kwa mwingine na mwingine watasema kila kitu but the proof.

Hata mimi nimewahi kwenda mbinguni niamini tu.
 
Waliowahi kwenda Mbinguni Wana "lugha" yao, na wanaoigiza wanafahamika pia.

Ungekuwa umeshafika mbinguni ungeyajua ya mbinguni.
 
Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.

"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?

Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.

Video hiyo hapo.
View attachment 2851247View attachment 2851248
Ni vigumu kuthibitisha ukweli wa taarifa maana haya yanatokea kila siku tu. Mwaka juzi kuna moja ilitokea mbeta eti kanaswa juu ya bati la mchungaji. Kumbe mwanamke katoka Mwanza kalipwa ila hakujua kuwa ile habari itasambaa sana kwa sababu ya mtandao ikasambaa hadi watoto na mmewe wakaiona na wao hawakuwa na taarifa kuwa maza yuko mbeya walidhani yuko kwenye sijuo semina.
Mama akaona hapa maji yamezidi unga ikabidi aseme ukweli kuwa alilipwa ionekane kanasa juu ya paa la mchungaji.
Haya maigizo si kwa wachungaji tu, umesahau tukio la kiroba kunasa kichwani kimara eti jamaa kaweka dawa toka kwa mganga ukiiba mzigo haushuki. Kumbe usanii tu wa kumfanya mganga avute watu na kweli taarifa ikasambaa watu wakaamini hadi polisi walipoingilia.
 
Waliowahi kwenda Mbinguni Wana "lugha" yao, na wanaoigiza wanafahamika pia.

Ungekuwa umeshafika mbinguni ungeyajua ya mbinguni.

Kumbe unaamini pia wapo waliofika mbinguni na kurudi Ila hutaki kuamini kama mimi nimefika? Kwanini mimi niamini story yako ya mtu kuwatokea maghettoni usiku? Your mental case is exceptional.
 
Ni vigumu kuthibitisha ukweli wa taarifa maana haya yanatokea kila siku tu. Mwaka juzi kuna moja ilitokea mbeta eti kanaswa juu ya bati la mchungaji. Kumbe mwanamke katoka Mwanza kalipwa ila hakujua kuwa ile habari itasambaa sana kwa sababu ya mtandao ikasambaa hadi watoto na mmewe wakaiona na wao hawakuwa na taarifa kuwa maza yuko mbeya walidhani yuko kwenye sijuo semina.
Mama akaona hapa maji yamezidi unga ikabidi aseme ukweli kuwa alilipwa ionekane kanasa juu ya paa la mchungaji.
Haya maigizo si kwa wachungaji tu, umesahau tukio la kiroba kunasa kichwani kimara eti jamaa kaweka dawa toka kwa mganga ukiiba mzigo haushuki. Kumbe usanii tu wa kumfanya mganga avute watu na kweli taarifa ikasambaa watu wakaamini hadi polisi walipoingilia.

Huyu itakua alimuamini hata yule mama aliyesema kajifungua Jiwe.
 
Hauko updated wewe mleta video ,hiyo video ya huyo mama msukuma sijui shija mbona alibabwa na polisi akadai ilikuwa ni maigizo ya mchungaji walifanya ili kujipatia waumini,na alidai kwao ni Sengerema,na alifanya hivyo kwa malipo ya shilingi 50K,hakuna cha uchawi wala guvu za Mungu hapo ni maigizo ya wachumia tumbo ili wapige hela za waumini
 
Back
Top Bottom