mungu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Injili na Qur'an ni Neno la Mungu siyo makaratasi yanayoshikika mkononi!

    Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli. Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu. Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maaskofu na watumishi wa Mungu mjitafakari sana kuhusu siasa za nchi yetu!!

    Wanabodi za asubuhi! Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na mitume!!Nakumbuka kisa cha nabii Eliya cha kutabiri kutokunyesha mvua miaka mitatu na nusu kutokana na taifa...
  3. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

    Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

    1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni 2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer 3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini 4...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

    Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
  6. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Wanamuogopa Mzungu kuliko Mungu, wanajiibia wenyewe kura

    WANAMUOGOPA MZUNGU KULIKO MUNGU, WANAJIIBIA WENYEWE KURA Jana nimemsikiliza mama Anna Makinda. Alizungumza jambo la msingi sana. Aliwakumbusha wabunge kuwa mtu yeyote anayedharau au kuombea nchi yake balaa hudharaulika hata kama wanaomsikiliza wanatabasamu! Akatoa mfano wa nchi ya Marekani...
  7. BASIASI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia saba kujua mapenzi ya mungu kwenye ndoa

    7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the will of God for their lives and not making a marital mistake. This man writing is not an exception...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

    Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi. Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za kufariki ghafla kwa mumewe bw. Sebastian Malya maarufu kama baba Neema au Ice Kyubu.Mpaka sasa...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

    January 20, 2020 Birmingham England NEW SIGNING MBWANA SAMATTA Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo. Source: Aston Villa FC Habari kamili : Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege

    Semina hii ya siku moja inafanyikia katika ukumbi wa Diamond Jubilee na tayari watu wameshaanza kuingia kwa wingi ukumbini. Semina hii itakuwa live Upendo radio,upendo TV na kwenye internet.Usikose kushiriki umoja wenye maana.
  11. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi makochi Mungu anawaona!

    Unakuta kochi limemaliziwa vizuri linang'aa na kitambaa safi cha nguo, turubahi, au ngozi. Utadhani limetengenezewa Ulaya! Utapigwa hela ndefu seti 1.5million mpaka 5m. Sasa lipeleke nyumbani watoto waanze michezo yao! Utasikia mara ndani mbao zinaanza kukatika mara ukikaa unadumbukia kwenye...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani ulilonusurika na ukaamini ni mkono wa Mungu umekunusuru?

    Nikiwa nimejilaza kitandani kwa kupumzika tu,miguu iko chini, yaani nilikaa kitandani halafu nikaamua kujilaza. Nilikaa kwa upande ambao mtu akiwa amelala kawaida huweka au kuelekeza miguu yake, baadae nikajilaza. Baada ya dakika kadhaa nilimuona nyoka akinitazama, akiwa amesimama upande wa...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu Wastaafu CCM nafsi ziwasute msiposimama kusema ukweli 2020

    Tunamshukuru Mungu ametupa pumzi sote tumevuka mwaka 2020. Naipongeza Serikali yangu na watanzania wote kwa amani na upendo baina yetu pamoja na misuko suko yote. Ndugu wazee wastaafu ktk ngazi ya juu ya Taifa nawaandikia ujumbe huu wala siwafichi wala sipepesi macho ila nasimama kusema...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania 2020 mwaka wa vilio majonzi katika historia ya siasa naomba Mungu atupiganie

    Ninaandika ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vilivyopo kwamba. Mwaka 2020 utaweka historia ya vilio na majonzi kwa watu wa kada zote Uwe Ccm, uwe chadema, uwe hauna chama, watoto, vijana wazee, wake kwa waume hakika ni mwaka wa majonzi. Uwe mwanasiasa, uwe mfanyabiashara, uwe mkulima uwe...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe asili ya Mungu

    Nianze kwa kuweka pembeni mafundisho ya dini yoyote kuhusu Mungu. Nitakupa maana yangu niliyoibuni nilipokuwa mdogo chini ya miaka 10. Nilimuuliza Bibi yangu mzaa Baba: Sisi tumeumbwa na Mungu. Je, Mungu aliumbwa na nani? Mungu alitoka wapi? Na kama hakuna Mungu ndo maana hakuna kitu, kila...
  18. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu kuwa na watu zaidi ya milioni 200, Mungu tuepushe na gharika!

    Tanzania yetu ni moja kati ya nchi zinazoongoza Duniani kwa ongezeko la watu, kwa mujibu wa statista mwaka 2100 nchi yetu itakuwa zaidi ya watu milioni 200 na moja kati ya nchi kubwa kwa idadi ya watu Duniani. Najiuliza hao watu watakula nini? Wataishi wapi na kulala wapi? Duh, sipati...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Je baada ya Yesu Kristo kuondoka Duniani, Mungu alibadilika na kua 'radical'?

    Biblia inasema baada ya mpela mpela nyingi Duniani, Mungu aliamua kumtuma Mwanae pekee mwenye uwezo kama yeye aje Duniani kutangazaa neema na ukombozi, kuhubiri amani na upendo, kuasa watu kua wema na watende mema, wasiishi kwa mazoea ya Nabii Musa na mengine, wasilipe baya kwa baya bali walipe...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
Back
Top Bottom