Hii nchi Mungu tusaidie: Spika anaita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari arudi bungeni, Rais anaenda kuchukua dawa ambayo haijathibitishwa watu wanywe

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu.

Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini ubunge hadharani akapewa kadi ya chama kingine. Leo huyo mbunge anaitwa kuendelea na ubunge wake kwa kutumia kilekile chama alichokikimbia.

Aidha Rais ametoa ndege kwenda kuchukua dawa ambayo masikini hata haijathibitishwa kuwa ni dawa. Rais wa nchi anayetoa dawa hajui hata dozi iweje kwa matumizi. Mbaya zaidi waziri msomi anainywa hadharani! Kama ni sumu? Hivi mbona kama nchi tumefikia kuchanganyikiwa hivi?

Dah acheni abane tu vyombo vya habari maana hivi tunavyovishuhudia ni vituko vya aina yake. Tuna ombwe kubwa la uongozi!
 
Huku Corona, Pale CCM, ukigeuka hivi Ndugai, ukicheki mbele Air Tz imetua Madagascar kuchukua dawa, wengine wamepunguzwa makazini mishahara hakuna, ukigeuka nyuma mtaalamu wa maabara kasimamishwa kazi...

Watanzania viumbe wagumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu, mambo ni mengi
 
Kwani tutawafanya nini? Ndivyo wanavyoambiana wakati wanatekeleza wendawazimu wao.
 
Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu.

Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini ubunge hadharani akapewa kadi ya chama kingine. Leo huyo mbunge anaitwa kuendelea na ubunge wake kwa kutumia kilekile chama alichokikimbia.

Aidha Rais ametoa ndege kwenda kuchukua dawa ambayo masikini hata haijathibitishwa kuwa ni dawa. Rais wa nchi anayetoa dawa hajui hata dozi iweje kwa matumizi. Mbaya zaidi waziri msomi anainywa hadharani! Kama ni sumu? Hivi mbona kama nchi tumefikia kuchanganyikiwa hivi?

Dah acheni abane tu vyombo vya habari maana hivi tunavyovishuhudia ni vituko vya aina yake. Tuna ombwe kubwa la uongozi!
Mbona usiache wenye kuamini waendelee na imani yao?
Wewe ni mchinganishi usiyejitambua hivi dawa mpaka mzungu aithibitishe?
Sisi tumeomba dawa hiyo ije ili watanzania tuijaribu na kuona kama itatusaidia wewe kama huamini kaa kushoto.
Spika kamuita mbunge ili aje ofisi ya spika na kuthibitisha kujivua ubunge officialy aidha kwa kutoa kauli na pia kimaandishi, je wapi tatizo wewe Halima mdee!

Hiyo dawa athibitishe nani ? Wazungu au? hizo sumu mnazokula kila siku hamzioni.
 
WHO au taasisi nyingine ya afya yenye kuaminika!Hivi baada ya mwaka waliokunywa hiyo dawa wakaanza kuugua na kufa mtaambia nini watu?
 
Bunge linalipa Mshahara ,posho ..nk kwa Mbunge hewa..Pesa za walipakodi..

Magu anatumia Mali za Serikali kwenda kuchukua Chai..sijui dawa gani..bila kuthibitisha inatibu au la ..

Pumbavu sana hawa CCM..

Nimemkumbuka sana Ben Saanane Leo..:(
 
Mbona usiache wenye kuamini waendelee na imani yao?
Wewe ni mchinganishi usiyejitambua hivi dawa mpaka mzungu aithibitishe?
Sisi tumeomba dawa hiyo ije ili watanzania tuijaribu na kuona kama itatusaidia wewe kama huamini kaa kushoto.
Spika kamuita mbunge ili aje ofisi ya spika na kuthibitisha kujivua ubunge officialy aidha kwa kutoa kauli na pia kimaandishi, je wapi tatizo wewe Halima mdee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefanywa akili zenu kuwa za uganga wa kienyeji!Nimekumbuka kikombe cha babu,mzee alipiga pesa sana!Ujinga nao ni faida kwa wengine!
 
Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu.

Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini ubunge hadharani akapewa kadi ya chama kingine. Leo huyo mbunge anaitwa kuendelea na ubunge wake kwa kutumia kilekile chama alichokikimbia.

Aidha Rais ametoa ndege kwenda kuchukua dawa ambayo masikini hata haijathibitishwa kuwa ni dawa. Rais wa nchi anayetoa dawa hajui hata dozi iweje kwa matumizi. Mbaya zaidi waziri msomi anainywa hadharani! Kama ni sumu? Hivi mbona kama nchi tumefikia kuchanganyikiwa hivi?

Dah acheni abane tu vyombo vya habari maana hivi tunavyovishuhudia ni vituko vya aina yake. Tuna ombwe kubwa la uongozi!

Zingine zote porojo.

Dawa ulitaka ithibitishwe na nani ndiyo ujuwe imethibitishwa na unaweza wewe kuitumia?
 
Back
Top Bottom