Pigo la vifo liliuleeza moyo wa farao, bado kitambo kidogo mtamwabudu Mungu kwa roho na kweli.

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Ilitokea zama za utawala shupavu wa misri.
Pharao aliwatumikisha wana wa Mungu na kuwatesa, hakuwapa nafasi ya kuabudu sawasawa na matakwa ya Mungu.
Hata walipoomba 'kutoka' Pharao aliwakatalia.
Pharao alipigwa mapigo sita akayavumilia.

Pigo la Saba ambalo liliua kila mzaliwa wa kwanza wa kila kiumbe misri ukiondoa wale walionyunyiza damu ya mwanakondoo kwenye miimo ya nyumba zao siku malaika muharibu alipoitembelea misri, ndiposa pharao akawaacha waende wao na mali zao.

Tujiandae kutoka 'exodus'

Walio chato wasirudi mjini maana malaika mharibu atafika huko pia.

======isomeke 'Liliulegeza' kwenye heading badala ya liliueegeza ======

=====DEVELOPING STORY ========

Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020) - JamiiForums
 
Lishaanza na watu wazito na wengine wameshajitenga wenyewe kama wale WAKOMA wa kipindi cha Elisha tusubiri ukombozi so soon!
 
Kina malakususa na wazinifu gwajumer ndio wachawi wa pharao waliozitupa fimbo zao nazo zikawa vinyoka vilivyomezwa na Nyoka wa Musa.
 
Hata sasa moyo wa pharao ungali mgumu.
 
Back
Top Bottom