Wasalaam,
Nilipokuwa kidato cha tatu, mwanafunzi mwenzetu alijiua kwa kunywa vidonge 16 vya chloroquine.
Binti huyo aliyekuwa akiitwa Rebeka, alikuwa mzuri wa sura, umbo, na tabia na kwa kweli hakuna hata mtu mmoja aliyewaza kuwa mrembo huyo angeweza Kujitoa roho kikatili hivyo. Kifo chake...
Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja.
Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo...
Ni kweli tunajiuliza kama mamlaka zinawekewa mkono na Mungu, je wanaoiba kura halafu wanashinda huwa mkono wa Mungu unakua na hiyo serikali?
Mimi labda nitowe wazo langu. Labda hao wanaoibiwa kura na wakashindwa, MUNGU hajawakubali ndio maana akaruhusu waliopo waendelee hata kwa kutenda...
Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
Kwako Ndugu Lissu
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe
Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu.
Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive;
Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wanahoji kwanini viongozi wa serikali hawapendi kutamka neno " Haki" na badala yake wamekuwa wakitamka Amani wakati wote.
Mimi nawauliza Mbowe, Zitto na Prof. Lipumba ndani ya vyama vyao wanahubiri haki? Na je vyama vyao vinatoa na kutenda haki? Na je madaraka...
Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka.
Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa.
Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona.
Shida ni nini hasa?
Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
Ni maada kwa dini zote wakristo na waislamu na wala sitegemei wachangiaji kuanzisha malumbano
Hakika Mungu anatupenda, Mungu baba wa mababa, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu, alfa na omega, mwenye ufalme, utakatifu na nguvu milele na kokote ulimwenguni.
Nina miaka 28, kwa kipindi...
Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel.
Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka.
Hata Ethiopia...
2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi na kama ilivyo kwa sisi wahenga wa miaka hiyo ilikuwa kuna kitu kinaitwa pikiniki.(Kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijalishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu...
LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII.
Simulizi ya Maisha ya Kweli:
Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA:
Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja.
Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru...
Wakuu natumai mko poa kabisa.
Swali hili najiuliza kila siku, kama Mungu anataka tufanye yale anayotaka yeye kwanini alituumba na akili? si alikua ana uwezo wa kutuumba tumumfate automatic.
Swali lingine ni kwanini alituumba bila makubaliano, yaani hakushirikishi kwene uumbaji wako, unajikuta...
Ni ukweli usiopingika kizazi cha viongozi wa kidunia na marais wa nchi kubwa duniani kimebadilika sana.
Tukianza na Katibu Mkuu wa UN ni kama amepoa sana na taasisi yake imekosa mashiko.
Tukija kwa Taifa la Marekani nalo sera zake za nje zimekosa meno kabisa kutokana na Rais wao Trump...
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni?
Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.