FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,009
- 40,680
Kama kuna mtu bado anaamini sera na misaada ya wazungu juu ya waafrika ni kwa sababu wanatupenda sana basi angalia hii video.
Huyu mzungu alikuwa ni mtu wa ndani kabisa katika serikali ya kibeberu na anasema wazi kwamba misaada waliyotoa kuanzia mwaka 1990 hadi 2000 kwa Afrika ilikuwa ni karibu trillion 30 kwa ajili tu ya kupromote utoaji mimba na uzazi wa mpango ili kuhakikisha idadi ya watu haikuwi na ikiwezakana ishuke ili Afrika isipate uwezo wa kutumia rasilimali zao kwa sababu wao mabeberu wanazitaka hizo rasilimali.
Pia wanapunguza idadi ya watu kwa kuyaacha magonjwa kama Malaria bila chanjo ili iendelee kuua na kupinguza idadi ya waAfrika, sio kwamba hakuna chanjo ya malaria, ila hawawezi kuiruhusu sababu italeta ugumu wa kupunguza watu weusi. Ingekuwa malaria inaua wazungu kama Corona sidhani kama pangekuwa hamna chanjo hadi leo.
Pia wanapenyeza magonjwa mapya kama Ebola, HIV ili kuendelea kupunguza watu weusi, lakini hasahasa ni kutoa misaada ya kutoa mimba na uzazi wa mpango, kila siku unasikia matangazo kwa msaada wa watu wa Marekani redioni eti mara ooh, mimba ni pushup 1000, kwahiyo pumzikeni walau miaka miwili kabla ya kubeba ujauzito, wao wanaupendo gani sana kwetu hadi kugharamia haya matangazo!
Mara ooh tumia njia salama za uzazi wa mpango, hatushtuko tu??!
Msikilize mwenyewe mwanzo hadi mwisho.
Video nimeweka part 1 na 2.
Pia soma: Wa-Afrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation! - JamiiForums