mungu

  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni mpango wa Mungu ili kupitia chama hicho Mungu aweze kuwakomboa Watanzania

    Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe. Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

    Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika. Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk. Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

    Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma. Mwenyekiti...
  6. Mtini

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

    Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima kugombea ubunge Kibiblia atafakari upya kama mtumishi wa Mungu

    Habari wakuu! Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa Mungu pia na mchambuzi wa Biblia natoa sababu kwa nini askofu gwajima hatakiwa kuwa kwenye siasa...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Jamani Rais Muogope Mungu! Ajira mil 6 zimezalishwa kweli?

    Nina madogo watano, wote wana degree na nimewasomesha mwenyewe. Wote wapo mtaani hawana ajira. Huyu mmoja ana degree ya ualim, kaamua kulima bustani.. Je hii ndo ajira ulioitengeneza? Mwingine degree ya HR kabahatika kaolewa ,je hiyo ndo ajira mnazo zungumzia? Huyu mwingine bachelor of...
  9. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama aua wanae wanne, asema Mahakamani kuwa alivamiwa na nguvu za giza

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri wakati anatenda unyama huo. Ndiyo maana Sisi wengine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wote wasifiwe kwa kujilinda na korona, Mungu ashukuriwe inaisha.

    Sasa naamini Mungu anailinda Tanzania na korona, lakini pia sababu sisi ni wasafi sana kuhusu pua na mdomo, tunakinyaa cha vyote kutoka puani na mdomoni. Yaani dunia nzima inavyoogopa korona na bado kuipata kwa wingi zaidi, pamoja na lockdown zao kali za hata kuuwa wananchi wasiofuata sheria...
  11. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ndoto hutenegezwa na Mungu kama EPSODE na si matokeo ya tukiwazacho mchana. Mungu yupo!

    Ndoto hutengenezwa na Mungu kama vile tamthilia ndiyo maana unaweza kuota ndani ya usiku moja matukio yote ukiwa darasa la kwanza na umbo na umri ukiwa mdogo, ukafaulu na kuingia sekondari umbo na kimo kikiongezeka hadi chuo kikuu, hapo ndipo unapoprove maisha yetu yameandikwa ktk kiganja cha...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Alinusurika kifo kwa kudra ya Mwenyezi Mungu

    Hili ni tukio la kweli kabisa lililotekea mwaka 1988, kuna Jamaa mmoja alitokea Tanzania kwenda Msumbiji kwa kupitia border mmoja inaitwa Congress au mkenda.kipindi hicho haikuwa njia rasmi sababu kulikuwa hakuna ofisi za uhamiaji kwa pande zote mbili yaani TZ na MOZ. Jamaa alikuwa anaenda...
  13. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Mungu Si Athumani Wasiojulikana Waanza Kujulikana

    Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupe
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Geita: Rais Magufuli ni Nabii aliyebarikiwa na Mungu wagombea wengine wanamsindikiza!

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli. Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine...
  15. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai. Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais. Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye Mwamba Freeman Mbowe amenyanyuka , aanza kuchechemea kwa Magongo

    Hakika Mungu si Athumani , hebu jionee utukufu wa Mungu kwenye video hii
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tafakari, yawezekana nipigo kutoka kwa Mungu kwani Mungu hajaacha kuwapigania waja wake

    Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili. Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane? Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
Back
Top Bottom