mungu

  1. CONTROLA

    Utoto bwana,Leo nikikumbuka "najiskia tu kumuomba Mungu Anisamehe"

    Hamna kitu kilichokua kikinikera kama mwalimu kuja kutuuzia vitumbua darasani au unakuta mwalimu anakuja na ubuyu wake katengeneza kwake anauza darasani nilikua sipendii tena nilikuaga mnoko nikiitwa ofisini kwa head master kuwataja walimu wauza ubuyu LEO HII NDIO naelewa maskini mimi kumbe...
  2. Travis Walker

    Hoja zenye kufungua Akili: Dalili zinazopendekeza uwepo wa Mungu

    Kawaida ya mwanadamu naturally anavutika kuamini vitu ambayo vipo katika kanuni zake za maisha yaani kanuni za fizikia (Law of Physics) kwa mfano kuona, kusikia, kuonja,kugusa nk. Kwahiyo, sisi ni rahisi kuamini vitu tunavyoweza kuviona, kusikia na n.k ili kupata ushadihi wa uwepo wa vitu...
  3. T

    Tusali watanzania Mungu atuepushe kuwa Zimbabwe

    Ndugu Watanzania wenzangu, Najua Serikali yoyote inawekwa na Mungu na hata Serikali tulio nayo naamini iliwekwa na Mungu. Ila from no where kumetokea sijui na washauri wabaya ama mwenye taifa basi mambo sio mambo. Mbaya kuliko yote nikuwepo kwa kajikundi samahani lakini mimi nakaita kajikikundi...
  4. Superbug

    Mungu ambariki Abiudi Misholi

    Ee Mwenyezi Mungu nakuomba endelea kubariki kazi za Abiudi Misholi na sauti yake ikawe uponyaji wa mioyo yetu leo na hata kesho kwa kadri upendavyo.
  5. Superbug

    Kwa mbali naliona kusudio la Mungu kututia upofu

    Mungu katika vitabu vyake amesema haki huinua taifa Hakika hii ni kweli Mungu amewatia upofu wanasiasa wasiione haki amewatia upofu watunga Sheria wasiione haki Amewatia upofu viongozi wa dini wasisimame kukemea uovu Amelitia upofu taifa na kututia minyorororo tusione dhambi hizi akilini...
  6. Econometrician

    Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

    Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara. Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya...
  7. C

    Tuheshimu wanyama na tuache kabisa ukatili dhidi yao. Wao pia wameumbwa na Mungu huyu huyu

    Mkazi mmoja huko nchini Malaysia aitwa K Ganesh amehukumiwa kwenda jela kwa miezi 34 kwa kosa la kumuua paka ambaye alikuwa na mimba kwa kumuweka ndani ya mashine ya kufulia nguo. Kwa sheria za haki za wanyama nchini humo ni kosa kwa mtu kufanya kitendo hicho cha ukatili kwa wanyama kwani hata...
  8. Mike Moe

    Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Rep

    Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika dimba lao la nyumbani la Camp Nou hii ni baada ya wikend iliyopita kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka...
  9. Erythrocyte

    CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  10. kavulata

    Umri wa kuolewa hupangwa na Mungu, siyo sheria

    Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu. Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa. Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za...
  11. N

    Walimu Lindi wanateseka, Jumamosi na Jumapili kwao zimekuwa siku za kazi

    1. Tangu mwaka huu uanze, Jumamosi imekuwa ni sehemu ya siku za kazi....si hiyari bali kwa shuruti kubwa. Mitihani yote, iwe midterm, mock ya aina yoyote, siku ya Jumamosi imekuwa ndani ya ratiba ratiba! Kwa baadhi ya shule za msingi, kazi zinafanyika hadi Jumapili.....Mitwero Primary School...
  12. Salim A. Msangi

    Je, kuna Mungu ? Part 6 (Kuumbwa kwa Kaalam)

    Tunaendelea … Tuliishia kwenye kuumbwa kwa Arshi Tukufu. Mtume Mtukufu Muhammad (saw), anatufundisha kuwa, baada ya Arshi tukufu, kilicho fuata ni. Kaalam(Pen). Mtume wa Allah (sw) alipozungumza kuwa Allah (sw), aliiumba Kalaam, aliendela kusema kuwa, wakati Kaalam inaumbwa, Arshi Tukufu...
  13. Stuxnet

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
  14. KijanaHuru

    Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

    Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
  15. Return Of Undertaker

    Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...
  16. Deejay nasmile

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Back
Top Bottom