muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Zouzoutz

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  2. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa Kariakoo (mawinga) ni muda sasa wa kurudi vijijini kulima

    Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua. Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Happy Birthday to me, kwaheri ujana. Sasa ni muda wa busara za kiutu uzima

    HAPPY BIRTHDAY TO ME. KWA KHERI UJANA. SASA NI MUDA WA BUSARA ZA KIUTU UZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Namshukuru Mungu. Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Nikiwa nimetimiza Rasmi miongo mitatu kamili(miaka 30). Nimejifunza mengi. Nimefanya mengi kwa muda huo. Namshukuru...
  4. Ndondocha mkuu

    Soma unaweza jifunza kitu: Mwanamke kuna muda anaweza kukulilia, kukuapia kumbe anahitaji huruma yako tu

    Habari za usiku wana jf. Leo nimekuja kutoa mkasa mmoja uliotokea siku 2 nyuma juu ya hawa wanawake. Nina rafiki yangu sana ambaye alikua na mpenz wake ambao wamedumu kwa miezi kama 9 wakiishi tofauti ila ni mtaa mmoja. Sasa kuna jamaa mwngine ambaye nafahamiananae alikua hajui kama yule ni...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo. Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
  6. Mama Edina

    Upi ni muda sahihi wa kula daku?

    Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwezi huu wa ramadhani lakini inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana, inaonesha saa 5:17 am (saa kumi na moja na dk 17 Alfajiri). Nahofu nisije kuwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku.
  7. M

    Usipoishi nao kwa akili nyingi watu hawa utajikuta matatizoni muda mwingi

    1. Wanaojiona sahihi muda wote hawa hawachelewi kukubebesha makosa yasiyo kuhusu. 2. Wajuaji kupitiliza hawa muda wote watakulaumu tu kwani kila jambo watakuona unakosea hata kama wao ndio wamekosea. 3. Wanaokutafuta kwenye shida tu hawa utawaona marafiki ukiwa na kitu cha kuwapa ila siku...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kupangiwa muda wa kula ni utumwa

    Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako. Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho. Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa. Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
  9. GENTAMYCINE

    Kuna muda huwa siwaelewi na nabaki tu kuwashangaa Waswahili Watanzania

    Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda. Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za...
  10. B

    Mgodi wa Barrick Bulyanhulu waongezewa muda wa leseni ya uchimbaji

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba (kushoto) akimkabidhi leseni ya kuongezewa muda wa uchimbaji wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido katika hafla hiyo , wanaoshuhudia nyuma (kushoto) ni Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde na Mkuu wa...
  11. J

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha...
  12. U

    Let's be honest: Kwanini upo/ uliwahi kuwa single kwa muda mrefu?

    Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle Nikaja kugundua kwamba nipo...
  13. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  14. Mhafidhina07

    Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha...
  15. Mhafidhina07

    Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    kwanza salaam! MBALI NA KATIBA KAMA IMANI NI MAENDELEO KWANINI TUSIFUNGE NA KUOMBA TUYAPATE? Natambua kuwa ipo nadharia ya dunia ni duara,unavyopanda mchicha hutaotesha mbuyu abadani kwa nadharia hii inanikumbusha karne moja iliyopita wengi wa mababu zetu walikuwa ni weupe walidanganywa na...
  16. Chizi Maarifa

    Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  17. NostradamusEstrademe

    Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  18. Mad Max

    Kwa kasi ya Mchina na Electric Vehicles (EV), sio muda tutapishana nazo Dar

    Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia. Sasa kwa rate hii, nina imani na Tanzania sio muda tutaonesha ubabe wa kuagiza hizi chuma. Mchawi ni...
  19. George Charles007

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  20. Konseli Mkuu Andrew

    Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
Back
Top Bottom