MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata...
Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kutaka mabasi yote ya mkoa kuanzia na kumalizia safari zao katika Magufuli Bus Terminal, nadhani sasa ni muda muafaka kwa serikali kuangalia pia upande wa miundombinu ili agizo hilo liende sambamba na kurahisisha usafiri kwa...
Mapigano yalizidi kupamba moto kusini mwa Lebanon usiku kucha na Jumamosi baada ya magaidi wa Hezbollah kushambulia vikosi vya Israeli vilivyokuwa vikizunguka ukingo wa Ali al-Taher, na kuwajeruhi wanajeshi 3 wa Israeli kutoka kitengo maalum cha uhandisi cha Yahalom - 1 akiwa katika hali mbaya...
Happy Sunday JF Members.
Wanawake tunawaheshimu na kuwapenda sana, ila kuna jambo moja mnapaswa kulielewa kwa nia njema kabisa.
Muda wa kazi, simu na SMS za mara kwa mara za kusalimiana tuu hazimaanishi kwamba mapenzi yanaongezeka. Kuna muda zinageuka kuwa kero.
Ukimtafuta mpenzi wako mara...
Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani.
Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms.
Sisi sio nchi ya kwanza...
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao...
Kuna kauli moja inasema hivi,
Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji.
Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu...
Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika.
Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
Kuna watu ambao ndimi zao ni kama za nyoka
Mioyo yao imekunjamana
Macho yao yamejaa moto
Vidole vyao vya ku-type vina upanga
Kauli zao ni za kukatisha tamaa
Lugha yao ni matusi.
Nini ni sababu ya haya yote ambapo unakuta mtu robo tatu ya siku yake anachagua kuwa hivi utafikiri ametumwa na...
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,
kuna fursa nyingi huko...
OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu. Leo naandika kwa unyenyekevu nikitumaini nitapata mtu wa kuniamini na kunipa nafasi ya kuanza upya.
Habari zenu wakuu.
Kwa kweli nimefikiria sana kabla ya kuandika uzi huu. Najua humu kuna watu waliowahi kusaidia lakini wakaja kukutana na...
Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every subscriber (wako hundreds of thousands if not millions). Basi na Tanesco, Dawasco e.t.c wafanye...
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao.
Nitolee mfano wa...
Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine).
Wengi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote .
Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.