muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hata zamu zao tushazijua, mshamba akiwa kimya, tila×2 anakuwa active, alafu galobedi akiwa active, mshamba na tilax2 wanapotea kwa muda

    Alafu hao wote wakituliaga anaotokezeable yule Chance ana kuwa active mfululizo kama wiki moja. UCHAWA NI KAZI SANA AISEE
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania ni muda muafaka nami jamii forum kunitunuku u platnum member.....

    leo nimeshuhudia kwa macho yangu mtibeli amepata u platnum member..nami nimesaidia wengi kwa michango yangu iliyo wazi...natanguliza shukrani.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana waandaliwe kuvamia mataifa mengine. Bado muda tunao.

    Hamjambo wote! Hili nitaendelea kulisema kila nikipata nafasi. Kwa sababu najua kile ninachokisema. Nakijua kwa sababu ndio usalama wa nchi yetu na future yetu. Niliitambulisha sera ya uvamizi miaka kadhaa iliyopita. Nikiwasihi viongozi na wale wenye mpango wa kuwa viongozi waitafakari, kisha...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nastahili Platinum Badge(JF staff someni hii)

    Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge. Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu 1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia 2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashukuru HESLB kuongeza muda, lakini button ya Application bado haionekani kwenye mfumo

    Kwanza, napenda kuishukuru sana JamiiForums kwa kutupazia sauti sisi waombaji wa mikopo ya HESLB. 🙏🏽 Post yenu ya tarehe 14 Septemba ilisaidia suala hili kuwafikia wahusika, na hatimaye HESLB ikaongeza siku nne za maombi. Tunawashukuru sana kwa hatua hiyo. Hata hivyo, bado kuna changamoto...
  9. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi katika muda mchache

    Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio ya imejens. Basi siku hiyo ikafika, nikamgonga mlevi mmoja alikuwa anakatisha barabarani, mlevi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA

    15 September 2026 Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15 LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50 Hon. John W. Heche speaking at the World Democracy Day Celebrations, held today, September 15, 2026...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

    "napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa. Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna...
  12. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen Z amkabia trafiki kwa juu. Ambana Trafiki kwa kumrekodi muda wote ili asipokee rushwa

    Wakuu Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Ezra Kachelo amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kumfukuza afisa wa polisi wa usalama barabarani (trafiki) aliyekuwa akituhumiwa kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa matatu katika Kaunti ya Kiambu. Katika video iliyosambaa...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  14. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

    Wakuu nilikuwa na mtanziko wa muda mrefu kuhusu nini ni-priotize katika maisha yangu biashara au ajira au vyote kwa pamoja. Muda wote huo nilikuwa nikifanya biashara ambayo ilinifanikisha kujenga nyumba mbili na kununua viwanja kadhaa mjini (Dar) na mkoani, lakini pia niliweza kutanua wigo kwa...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa napitapita kule gerezani kwangu kuona wafungwa wangu wanaendeleaje.

    Wale ninaowaona wamejirekebisha nawaachia huru, wale wanaojitahidi kubadilika; nawapunguzia vifungo, wale walioshindikana wananyongwa😁😂😂
  16. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Kabla muda haujakufanya kuwa kumbukumbu, ifanye leo kuwa kweli...

    Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako. Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha yataendelea kama kawaida. Na hupaswi kuogopa hilo. Kwa sababu ukweli kwamba dunia inaweza kuendelea bila...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya Uhamisho wa kubadilishana yamekwama muda mrefu TAMISEMI, kwanini?

    Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali nchini. Nimekuwa nikifuatilia uhamisho wa kubadilishana sababu familia yangu ipo Singida. Nilianza...
  18. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MSANII G SOLO - MUDA WA VITENDO

    🔥 JE, HIP HOP YA ZAMANI ILIKUWA SAUTI YA JAMII? Kuna kipindi Hip Hop haikuwa burudani pekee, bali ilikuwa pia kioo cha jamii. Wasanii walitumia kalamu zao kuzungumzia maisha ya wananchi, siasa, uchumi, rushwa, elimu, ajira na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikiikabili Tanzania. Leo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO ESS na PEPMIS ni kitanzi kwa Watumishi, kila muda mfumo huo unapotea hewani

    Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi kila siku. Bahati mbaya, kwa sasa mfumo huo hauko imara. Kuna muda unakuta jukwaa la E-Utendaji...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

    Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako. Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi. Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
Back
Top Bottom