mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,062
- 20,287
Unakuta uko na Dem wako halafu kumbe haujazijua code.. unakuta mwanamke mkigombana kidogo anakwambia Jaribu unipige uone... Kumbe mwanamke huyo ni zile type zile za "chock me daddy" mara "spit to my face Daddy" mara oh slap me 😩 😩.. yaani vurugu mechi dadeki....huwa tunajifanyaga tunawajua hawa waubavu wetu lakini kumbe hamna kitu🤣🤣🤣🤣... Wamama acha waitwe wa mama....
NB:Kuna wanawake nasikia huwa wanakuwa turned on wakipewa makofi mawili matatu....
Wewe unashangaa umezabua mwanamke kama kumdisplicne afu hatoi hata chozi, kumbe mwezio kule Downtown yupo hoi bin Taabani
Oh Mai gade😆😆...tuepushe na hiki kikombe cha siki ya sifongo
View: https://youtu.be/U0CGsw6h60k?si=iEOPy6qVO_VKGwMo