mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Mtwara mjini. Wadau wa Mtwara mjini nipeni ruti

    Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni. Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo. Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo...
  2. Nurain

    JamiiForums Tanzania Mtwara na siasa uchwara! Rais Samia wanakudanganya huku

    Umofia Kwenu! 1. Mtwara haina stendi bali Ina bwawa la kufugia samaki! Ni aibu viongozi kushindwa kujenga stendi wakati ndio mkoa unaotoa billions of money kupitia korosho,gesi,ufuta,bahari nk. 2. Mtwara inaongoza Kwa kuwa na barabara zenye mashimo! Yaani Kila hatua kumi shimo hili hapa! Hivi...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara. 1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana sheria ya Ndoa ya mwaka 71 inasema kwamba mtoto wa kike Muumini wa dini ya kiislamu anaruhusiwa kuingia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ziara ya Dkt. Biteko Mkoani Mtwara yasababisha mitambo ya Umeme iliyosimama kuanza uzalishaji

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo mitambo ya umeme ambayo ilikuwa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  6. ward41

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini wanapiga kelele Duniani kote!

    Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town! Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel. Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza. Mataifa mengi makubwa na madogo yanaenda kujifunza Israel. Kuna mwaka Bara nzima la Africa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimenogewa na Ntwara sasa rasmi nitasoma VETA Mtwara pale Shangani intake ya January au February

    Baada ya x mass nitarudi Dar but kwanza ntachukua fomu VETA pale Shangani Ntwara kwa short course ya mwezi mmoja au miezi mitatu ( Jina la course kapuni) So nitakuwa napiga ndege wawili kwa pamoja 👉 1. Kufanya utalii wa ndani 2. Ku acquire new vocational skills ambayo nitakuja kui apply in...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Huku Mtwara msimamo wa watu maarufu uko tofauti kidogo namba 1. Misso Misondo, 2. Harmonize, 3. Chibu, 4. Alikiba

    Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji. Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara. Kwa huku Mtwara, msimamo wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 14.5 Kujenga Kituo cha Mabasi, Barabara Mtwara

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi pamoja na barabara mbili zenye urefu wa kilometa sita katika Mkoa wa...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Mtwara Yaanza Kujibu

    Meli iliyobeba makasha 225 ya kampuni ya CMA-CGM SAIGON imewasili katika bandari ya Mtwara kwa ajili ya kusafirisha shehena ya korosho ghafi katika msimu wa 2023/24. Akizungumza leo Oktoba 22,2023 baada ya kupokea Meli hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda, amesema kuna Meli...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iwahamasishe wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa na makazi bora

    Lindi na Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo wananchi wake wana uhakika wa kupata fedha za pamoja tofauti na baadhi ya mikoa. Kuna msimu wa ufuta, vijana hupata mamilioni, msimu wa korosho wazee pamoja na vijana hupata mamilioni, msimu wa mbaazi pia huwapa mamilioni wakulima baadhi. Ila makazi...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonesha kila sekunde 24 kuna mtu anafariki kwa ajali ya barabarani

    Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni. Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Aliyepo Mtwara amesomea mambo ya ustawi wa jamii au mazingira na smart upstairs na well presentable anicheki

    Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo. Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe Mtwara mjini. UPDATE: Nimeshapata
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Bandari Nyingine Kujengwa Mtwara

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

    Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu. Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Desemba 2023 Vijiji Vyote Mtwara Vitakuwa na Umeme

    SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka umeme katika maeneo hayo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwalimu wa kujitolea mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mtu mmoja (23) mkazi wa kijiji cha Mkalapa kata ya Chikundi ambaye ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa kwa tuhuma za kumbaka binti (14) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari...
Back
Top Bottom