Nimenogewa na Ntwara sasa rasmi nitasoma VETA Mtwara pale Shangani intake ya January au February

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Baada ya x mass nitarudi Dar but kwanza ntachukua fomu VETA pale Shangani Ntwara kwa short course ya mwezi mmoja au miezi mitatu ( Jina la course kapuni)

So nitakuwa napiga ndege wawili kwa pamoja ๐Ÿ‘‰ 1. Kufanya utalii wa ndani 2. Ku acquire new vocational skills ambayo nitakuja kui apply in my business when I get back to Dar.

Road distance between Mtwara town na Newala ๐Ÿ‘‰ 2 and a half to 3 hours.


Road distance between Mtwara and Masasi ๐Ÿ‘‰ Almost the same as above.

Kuwa hapo VETA ni faida kubwa kwangu kwa sababu๐Ÿ‘‡

Nitatengeneza network na wadada wa Mtwara tena wa age ninayo itaka ( 18 to 22) na ambao sio wanafunzi wa sekondari.


Nitakuwa na ukaribu zaidi na wasichana ambao ni wasichana. Silali na malaya wanao jiuza. Natembea na wasichana ambao ni wasichana. Nimuone msichana nimpende nimtongoze hadi anikubali. Yule niliyo kutana nae juzi sio malaya anae jiuza mtaani , ni mdada, 20 ambae nilikutana nae sehemu nikamuimbisha mpaka akanielewa.
 
Baada ya x mass nitarudi Dar but kwanza ntachukua timu VETA pale Shangani Ntwara kwa short course ya mwezi mmoja au miezi mitatu ( Jina la course kapuni)

So nitakuwa napiga ndege wawili kwa pamoja 1. Kufanya utalii wa ndani 2. Ku acquire new vocational skills ambayo nitaikuja kui apply in my business when I get back to Dar.

Road distance between Mtwara town na Newala 2 and a half to 3 hours.


Road distance between Mtwara and Masasi Almost the same as above.

Kuwa hapo VETA ni faida kubwa kwangu kwa sababu

Nitatengeneza network na watoto wa Mtwara tena wa age ninayo itaka ( 18 to 22) na ambao sio wanafunzi wa sekondari.


Nitakuwa ba ukaribu zaidi na wasichana ambao ni wasichana. Silali na malaya wanao jiuza. Natembea na wasichana ambao ni wasichana. Nimuone msichana nimpende nimtongoze hadi anikubali. Yule niliyo kutana nae juzi sio malaya anae jiuza mtaani , ni mdada, 20 ambae nilikutana nae sehemu nikamuimbisha mpaka akanielewa.
Post ya kipuuzi sana hii kutoka Kwa mpuuzi mwandamizi na malaya Mzee

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Unachukua nyota za watu huko au?

Upo kama ndio mara ya kwanza kutenda... ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Unachukua nyota za watu huko au?
Umejuaje? Hakuna jambo linalo pandisha nyota ya mwanaume kama kusex na wadada wa age 18-22. Mfalme Suleiman aliujua ukweli huu ndio maana aliwapiga mkwara Mzito wananchi wake kwa kuwaambia eti " mwanaume anae zini na mwanamke hana akili hata kidogo na anaiangamiza nafsi ( nyota) yake mwenyewe. Kumbe mzee alifanya hivyo ili kuwalinda wakeze dhidi ya watu walio kuwa karibu nao kama vile walinzi na wafanyakazi . Alijua wangelala na wakeze basi nao wange ng'aa kinyota kama yeye.
Upo kama ndio mara ya kwanza kutenda... ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
unajua utamu wa ngono ni kama uchungu wa kufiwa. Hakunaga mtu mwenye experience ya kufiwa. Huwezi kusema eti kwa kuwa umeshapata misiba tisa basi ukipata msiba wa kumi hutoumia kwa sababu tayari una experience ya misiba tisa.Hell No.

Pale kati patamu sana.
 
Unaogelea mbususu tu mkuu, mbususu all over, kaskazini, kusini, mashariki, magharibi.
Mkuu unataka niongelee kuhusu rasimu ya katiba ya warioba ndio nionekane nipo serious ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Usi complicate maisha mdogo wangu
 
Back
Top Bottom