Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini wanapiga kelele Duniani kote!

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,395
Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town!

Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel.

Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza.

Mataifa mengi makubwa na madogo yanaenda kujifunza Israel.

Kuna mwaka Bara nzima la Africa likikusanywa na kataifa kama mkoa wa Mtwara eti kanataka kufanya biashara na Africa, kweli?

Pale UN usiseme, akiongea Israel wote wanaufyata. Israel akiamua yake USA, UK, China, Russia wote wananyamaza Kimya.

Middle East raia wanaandamana wee lakini mataifa yote yananyamaza Kimya.

Israel wana siri gani? Nini Siri ya haya mambo?
 
Isreal inasaidiwa na NATO na Marekani. Isreal peke yake hata Tz wananguvu
 
Kuna makundi mawili yanayoisakama Israel. kuna kundi la kidini na kundi wajinga wanafiki.
Religionists wameweza ku manipulate kundi kubwa.
Wayahudi na waarabu wanashare same ancestors, wote asili yao ni Iraq, wote hapo ni wahamiaji ila leo waarabu wananchi 20 na kitu.
Africa kaskazini wameingia kwa nguvu, wakaiba hadi leo wapo hapo ila hao hao wanawageukia wayahudi na kuwasamkama kuwa ni wezi wa ardhi.
Hata kile kidogo walichonacho ndugu zao wayahudi wanataka wakichukue kwa nguvu and they want the entire world to queue behind their evil agenda.
Dunia inawazimu sana hii.
 
Attachments

  • received_737633991755939.jpeg
    received_737633991755939.jpeg
    62.3 KB · Views: 2
Jews ni kabila kubwa kule marekani, wameshikilia nyanja nyingi za uchumi, USA, haiwezi kuacha kuipa msaada Israel! Jana wametoa msaada mkubwa wa siraha.
Kuisaidia Israel, IPO ndsni ya DNA ya, America, Israel ipo ndani ya conscious ya America,
Kama ambavyo islam(weusi)wanavyo walamba miguu wa Arabs, hata kama wakifanya kitu kibaya,
 
Kuna makundi mawili yanayoisakama Israel, kuna kundi la kidini na kundi wajinga wanafiki.
Religionists wameweza ku manipulate kundi kubwa.
Wayahudi na waarabu wanashare the same ancient, wote asili yao ni Iraq, wote hapo ni wahamiaji ila leo waarabu wananchi ya 20 kitu.
Africa kaskazini wameingia kwa nguvu, wakaiba hadi leo wapo hapo ila hao hao wanawageukia wayahudi na kuwasamkama kuwa wayahudi ni wezi wa ardhi.
Hata kile kidogo walichonacho ndugu zao wayahudi wanataka wakichukue kwa nguvu and they want the entire world to queue behind they evil agenda.
Dunia inawazimu sana hii.
😂😂 Umeongea ukweli mtupu, usiende mbali sijui North Africa, nenda Zanzibar tu hapo... Wanalalamika kuwa nchi yao na wanataka Uhuru, sometime CCM wanakuwaga na akili timamu sana.. yaani
 
Jews ni kabila kubwa kule marekani, wameshikilia nyanja nyingi za uchumi, USA, haiwezi kuacha kuipa msaada Israel! Jana wametoa msaada mkubwa wa siraha.
Kuisaidia Israel, IPO ndsni ya DNA ya, America, Israel ipo ndani ya conscious ya America,
Kama ambavyo islam(weusi)wanavyo walamba miguu wa Arabs, hata kama wakifanya kitu kibaya,
Kwahio tukubaliane na mleta mada kwamba israhell ni wakubwa
Ama tukubaliane na ukweli kwamba misaada ndio inamkuza israhell
 
Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini inakuwa talk of the town!

Dunia imekuwa ikisimama mara kwa mara kwa ajili ya Israel.

Kilimo, sayansi, biashara, uchumi, Vita, ubunifu wanaongoza.

Mataifa mengi makubwa na madogo yanaenda kujifunza Israel.

Kuna mwaka Bara nzima la Africa likikusanywa na kataifa kama mkoa wa Mtwara eti kanataka kufanya biashara na Africa, kweli?

Pale UN usiseme, akiongea Israel wote wanaufyata. Israel akiamua yake USA, UK, China, Russia wote wananyamaza Kimya.

Middle East raia wanaandamana wee lakini mataifa yote yananyamaza Kimya.

Israel wana siri gani? Nini Siri ya haya mambo?
Kichwa chako unakitumia kwa kazi gani ? Kabati la meno au ?
 
Kama ni misaada mbona wengi tunapokea misaada
Nyie mnapokea misaada au mnadanganywa tu
Hamna nchi inapokea msaada mkubwa kama israhell toja kwa hao madada zake
Ntajie nchi gani iliwahi kupewa msaada wa dola billion tatu kila mwaka huu wa silaha tu
Nitajie taifa gani limewahi kupewa nyambizi za nyuklia tena zaidi ya moja huo msaada tu wa kijeshi
Nyie mnapewa silaha mbele ya israhell
Israhell anapigana na sehem ukubwa kama wilaya yake ila kapelekewa meli za kivita zakubebea ndege mbili tena bila kuomba
Wakati pale Ukraine aliomba kabisa ila akatelekezwa
Ntajie taifa gani limewahi kupewa aina hii y msaada
Israhell anapewa hio misaada bila riba bila masharti
Nyie mkipewa mpaka muambiwe muoane sijui nn
Nyie hampewi misaada nyie mnafungwa bila kujijua
 
Back
Top Bottom