Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,264
- 4,998
Umofia Kwenu!
1. Mtwara haina stendi bali Ina bwawa la kufugia samaki! Ni aibu viongozi kushindwa kujenga stendi wakati ndio mkoa unaotoa billions of money kupitia korosho,gesi,ufuta,bahari nk.
2. Mtwara inaongoza Kwa kuwa na barabara zenye mashimo! Yaani Kila hatua kumi shimo hili hapa! Hivi viongozi hamjui kuwa chanzo Cha mashimo ni barabara kukosa mifereji ya kupitisha maji.
3. Mtwara ina uhaba wa maji yaani inaweza kupita wiki maji hayatoki wakati vyanzo vya maji vipo lukuki.
4. Mtwara ndio mkoa unaoongoza kufanyiwa siasa za maigizo.Viongozi wake ni kama hawajui wananchi wanataka nini!
5. Maafisa ardhi mnaacha watu wajenge kwanza ndipo mnaleta ramani .Hii migogoro ya majirani ninyi mtakuja kutusaidia kutafuta mawakili?
6. Toka uhuru mpaka leo hamjaweza kuunganisha Kwa lami wilaya zake!mfano mtwara-Tandahimba-Newala to masasi. Bajeti inayosomwa Kila mwaka inaenda wapi?
6. Viongozi wa kitaifa mmefikisha ziara zaidi ya 21 kwenda Kanda ya kaskazini huku kusini mkifanya ziara 1 tu.Maana yake ni kuwa mmeiacha kusini ijiendeshe yenyewe!
7. Mkuu wa mkoa wa Mtwara tembelea Kijiji Cha Mbae kata ya ufukoni: Habari za Hanang zinakuja kukikumba Kijiji Cha Mbae! Hivi kuchimba mitaro ya kupitisha maji kunawashinda nini au mpaka aje Rais??? Barabara ya Mbae mnaweka tope mbovumbovu yaani mkandarasi anashindwa kuweka kifusi Cha changarawe mnaweka matope! Ni aibu manispaa kuwa na barabara chakavu kiwango hiki!
Viongozi tokeni ndani ya vie8 Ili mjue hali za wananchi mnadhani sisi wananchi ni wajinga wa kudumu?
Siasa za Mtwara na kusini ni siasa uchwara viongozi oneni aibu kabla wananchi hatujaamka!
Mwandishi:
Ni mdogo wake TupaTupa Kwa Sasa yupo Chipuputa mkoani Mtwara.