mtu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

    Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umri upi ni sahihi kumuita mtu mzee?

    Mtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35, je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani. Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Inauma sana unapoombwa pesa au msaada unapambana kumsaidia mtu, ukimpa hakujulishi kapata, anakwambia alishasaidiwa, atautumia siku nyingine, n.k

    Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k. Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu hakosi poda na makorokoro ya kujirembea kama ya wadada

    Lengo la mtoto wa kiume kujilemba kama mdada ni nini sasa ni kulazimisha u-handsome au ni nini au ndio dalili za upinde
  5. JamiiForums Tanzania TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
  6. JamiiForums Tanzania YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna msichana kanikubalia ila ameniambia ana mtu

    Kwema wakuu, Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa katika maongezi kanichana ana mtu wake ila kanikubalia. Hii imekaaje wakuu sema kweli pisi nimeielewa...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  9. JamiiForums Tanzania Ufahamu mti unaofanana na mtu

    Unaitwa madrak ni mmea wenye maajabu sana kwanza unafanana na sura ya mtu halafu ukiwa unaukata unalia kama mtoto unatoa sauti kabisa huu mti una maajabu mengi na una sumu inayoweza kukua wanautimia sana kwenye mambo ya kichawi chawi.
  10. JamiiForums Tanzania Hukuzaliwa kuja kuokolewa na mtu

    👉HUKUZALIWA 👉KUJA 👉KUOKOLEWA 👉NA MTU Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu ulimwengu wa tatu ili ukuze Ufahamu wako/consciousness, haujazaliwa Kuja kuokolewa na Bwana Yesu ama...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  12. JamiiForums Tanzania Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

    Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
  13. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe mtu kuanzia leo 1-6-2024 mpaka Disemba 31, halafu utaona amani itavyorudi moyoni

    Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni kwa wakati au kama kutakuwa na hali ya kutokuelewana juu ya masharti ya mkopo. Ndugu huyo utakuwa...
  14. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taarifa Binafsi zinazokusanywa na Makampuni ya mikopo Ya Online ni hatarishi kwa Faragha ya Mtu

    Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi. Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vinavyotoa Course ya Commmunity Health

    Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona. Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  19. JamiiForums Tanzania Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ikimuonesha mwanaume akiwa mtupu akikimbia baada ya kukutwa na mke wa mtu

    Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia. Je, ni kweli mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…