mtu

  1. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Sio kila mfanyabiashara ni Mfanyabiashara,Chagua mtu sahihi wa kumshirikisha mawazo yako

    Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa nawambia watu wa namna hiyo kuwa "nyie mpira sio fani yenu na wala haupo kwenye damu" hivyo...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kamtibua mwenyekiti Makete huko

  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa na mtu kuwa wapo wengi tu watajiunga NCCR Mageuzi

    Kwangu mimi ni habari njema sababu zinatia moyo. Maana wote wanaonyesha moyo wa uzalendo. Maana kipimo kidogo tu cha janga la dunia kimethibitisha Chadema haifai. Kama taifa tupo vitani lakini wao wamegeuka kuwa maadui. Nasikia kuna wawakilishi walishahama kimoyo moyo. Maana hawtaki kutangaza...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  6. vee15

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Habari wanaJF Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza. Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri...
  7. ronnycharlz

    JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukianzisha mahusiano na mtu ambaye ni jirani mara nyingi huwa hayadumu?

    Nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu. Je, ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu? Karibu hapa tujadili
  10. endesha

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa kutoa yaliyo moyoni: Kero/dukuduku/Povu kwa mtu yeyote

    Karibu Jukwaani la kutoa kero yako,dukuduku na hata Povu ikibidi kuhusu member yeyote,hata mods ikibidi na hata kama kuna member amekukwaza pia unaweza kumfungukia hapa .:p Naanza...Kero yangu ni kwa wote wasio wastaarabu wanaoshambulia watu kwa matusi/lugha za kuudhi hapa Jukwaani.Naomba...
  11. excel

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtu mzima kukojoa kitandani. Fahamu chanzo, dawa, ushauri na tiba

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Habari zenu wana jf Dr. Mimi nina tatizo amabalo limekuwa likimsumbua mdogo wangu tangu akiwa shule ya msingi na mpaka sasa yuko kidato cha sita! Yeye amekuwa ni mtu wa kukojoa kitandani tu bila kukata (that means kila siku yeye anakojoa tu!)...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza JKT na kurudi nyumbani akili yake inakuwa kama mtu anayehangaika na kutafuta Rupia ya Mkoloni

    Nimefuatilia mazungumzo ya vijana kadhaa waliomaliza mikataba yao ya JKT miaka 2 na wengine kuongezewa miaka au miezi kisha kurudi nyumbani bila ajira. Wengi wao akili zao zinakuwa na walakini utadhani watu wanaotafuta Rupia ya Mjerumani mapangoni na milimani. Unaweza ukamuuliza swali moja...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Raha ya mapenzi umpate anayekupenda

    Binafsi nina relationship na msichana mmoja honest ananipenda na mimi ninampenda. Ni msichana anayenijali sana yeye kidogo ameanza teyari maisha na pia ana kazi na amepanga kabisa, kwa upande wangu me nipo mwaka wa mwisho chuo na kiumri tumepishana mwaka mmoja yeye ana 25 me Nina 24. The way...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Wanabodi, Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bunge: Mtu aliyefariki kuzikwa “popote" siyo utamaduni wa kiafrika

    Bunge limesema mtu aliyefariki anastahili kazikwa kwa mila na desturi za jamii yao na kwamba marehemu kuzikwa "popote" siyo utamaduni wa kiafrika. Hayo yamesemwa na Spika wa Bunge mh Ndugai Source ITV habari My take; Kiukweli hata DC Mmanda alipaswa kuzikwa Rombo, nakubaliana na Ndugai
  16. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Assume una mtoto wako mzuri tu. Ipi afadhali atembee na mtu mzima ama atembee na rika lake?

    Yaani una binti yako mtoto mzuri tu mashallah. Kwa nyakati hizi, kuliwa ataliwa tu kabla ya chuo. Swala ni bora nani amle? Aliwe na mtu mzima mwenye ofisi yake na maisha yake ili amkuze na kumlea vizuri au aliwe na dereva bodaboda' wa rika lake, ama mwenzie anayesoma naye kwenye risk kubwa ya...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

    Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona, ukisomeka, " Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake". Jeshi la Polisi...
  18. Mtapenda

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekumbwa na ugonjwa mpya unaitwa matatizo ya kupumua

    Habari zenu wanaJF, Ni wiki sasa Tanzania tunatangaziwa watu maarufu wanafariki kwa matatizo ya kupumua tena ni wengi mno sasa ni wakati wa serikali kututangazia haya matatizo ya kupumua yanasababishwa na nini!?, Dalili zake pamoja na tahadhari ya kuchukua.. Ni dhahiri kwamba mh rais kama...
  19. COVID 20

    JamiiForums Tanzania Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

    Mambo zenu ndugu zangu Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

    Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo == Punda fanyeni kazi mlipe kodi
Back
Top Bottom