mtu

  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia hii muafrika ataendelea kuonekana kuwa mtu duni kiakili na kudharaulika

    Hapo vip!! Kupitia janga hili la Corona na harakati na kutafuta tiba au kinga dhidi ya janga hili,muafrika ameonekana kanakwamba mtoto mdogo anayesubiri maamuzi na kauli na pia na solution ya janga hili kutoka kwa mzazi..nikimaanisha tumeonekana tukidharau na kubeza hata tiba zetu za asili na...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanasheria: Je, huyu anahitaji kuwa na deed poll kwenye petition yake

    Jina kwenye cheti chake cha O Level: Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti cha A level; Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti chake cha LLB Mohamed DAIMA. Jina kwenye cheti chake cha Law School Mohamed DAIMA. JINA KWENYE CHETI CHAKE CHA KUZALIWA: Mohamed DAIMA. Kwenye cheti chake cha kuzaliwa...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

    Mfano hai kabisa ambao nimeshuhudia kwa macho yangu mitaani na pia katika mitandao, ni ile hamu na shauku waliyokuwa nayo baadhi ya waTz kuona ugonjwa wa Corona ukiingia Tz, na unamuona kabisa mtu huyo anaumia kila walipoambiwa kuwa ugonjwa bado haujafika. Ile siku yule dada wa huko Kaskazini...
  4. manchoso

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tabia ya mtu haibadiliki

    Ni jambo lipi au mradi gani aliowahi kuufanya John Pombe Magufuli, akiwa mbunge na sasa akiwa rais aliowahi kuubuni na kuukamilisha kwa utulivu, bila ya mitifuano na watu, wafanya kazi, contractors, raia au taasisi. Ukiangalia barabara zilizojengwa, utakuta mikwaruzano kila sehemu. Naikumbuka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa nafasi yake tutendeane haki kuhusiana na janga hili la COVID-19

    Haieleweki hawa watu ambao wamependa kusema serikali iko makini au wapo makini kuudhibiti ugonjwa huu wana maana au nia gani na taifa hili. Watu hawa, hawakuweza kuuzuia ugonjwa kuingia nchini wala hawana mpango wowote thabiti uliowazi wa kuudhibiti ugonjwa huu usisambae. Matokeo yake ugonjwa...
  7. Display Name

    JamiiForums Tanzania Kumsamehe mtu ni lazima muwe marafiki tena?

    Wakuu habari za muda huu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo naomba niiwasilishe kwa mtindo wa swali kwani natamani sana kujua majibu ya hili. Je, nikimsamehe mtu ni lazima tuwe marafiki tena? Mfano kwa kupitia kisa hiki; Mume amegombana na mkewe na ikafika hatua ya mume...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  9. nacho1

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusikia na kuambiwa mtu anapokaribia kuoa (kuolewa sifahamu) mara nyingi hukutana na changamoto za kumkatisha tamaa

    Sikuelewa vizuri sahivi imefika zamu yangu nimeanza kuelewa kwa kueleweshwa kwa vitendo. Nimekua kwenye mahusiano miaka mitano na binti mmoja niliepanga kumuoa na sikuwahi kumpenda mwingine yeyote kwa kipindi chote hiki hadi sahivi tumekata shauri tuanze mipango ya kuoana ndio changamoto...
  10. Zack Snyder

    JamiiForums Tanzania Kama unampenda mtu kwa dhati usisite kumwambia mapema. Life is too short

    Wadau! Kila mtu ana mtu ambae moyo wake umemuangukia au umeCrush kwake, ila hujamwambia unasubiri subiri muda fulani au Unaona aibu/Uoga kumwambia. Kama mtu huyo yupo kamawe usisite kumwambia hisia zako wala usisubiri. Dakika moja ni kubwa mno kuamua hatima ya maisha ya mtu ndio maana mtu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtwara: Kuanzia Jumatatu mtu yoyote anakwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni lazima avae barakoa ( mask )

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini. Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19. Chanzo: ITV habari!
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya mtu ambae anafanya biashara ya samaki Mwanza

    Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam. Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
  13. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ushairi wangu juu ya corona

    Ubeti wa kwanza: Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita, Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita, Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata. Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni. Ubeti wa pili: Baada ya saa 48,..... nitaendelea
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya kauli ya Mwigulu Nchemba kuhusu kuficha takwimu za maambukizi ya COVID-19, Kitila Mkumbo asema kauli hiyo ni ya mtu mjinga

    Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania. Tukumbuke watu...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  16. The Alchemist

    JamiiForums Tanzania Personalities: Aina za mtu kwenye mtu na mahusiano na jamii.

    Mwanadamu ni kiumbe wa tabia (a creature of habit). Huwa kile ambacho hukifanya kwa muda. Kila anachofanya huwa. Leo nizungumzie Kwa ufupi personalities za mtu kulingana na mazingira na madhara ya kutokumwona mtu katika tabia anayotaka kuonekana anayo. 1) Personality ya mtu mwenyewe: Hii ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Eti wanaume utamwoa mtu mwenye tatoo? Na wadada je utaolewa na mwanaume mwenye tatoo

    Je ukimpenda mtu ukajua anatatoo na nibaada ya kumtolea posa utafanyaje ? Na mwanamke umeshatolewa poswa na mwanaume ukaja jua yule aliyekuposa anatatoo utamkubali akuoe?
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke uliyeachana nae 'Kiugomvi ' katika Mahusiano yenu, Siku akipata mtu wa kumuoa na akikuletea kadi ya Mwaliko huwa anawaza nini kati ya haya?

    Je, huwa anakuwa... 1. Anakukoga ( Anakuringishia ) kuwa umeanika watu Wameanua? 2. Anakuambia kuwa bado anakupenda ila huyo Boya anayemuoa kaingia tu Mkenge kwake? 3. Anakualika uje umshuhudie Mwanaume wake mpya 'anayemsuuza' vizuri Kitandani? 4. Anakuwa anataka tu Kukudhalilisha...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

    Napendekeza katika hali ya dharura sana, serikali itangaze kuanzia jumamosi hii iwe ni marufuku kwa mtu yeyote kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa au scarf, na kama ana uwezo wa kununua barakoa basi avae barakoa. Japo barakoa/ scarf haikukingi moja kwa moja na maambukizi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeuza vifaa na vyombo vilivyotumika kidogo kwa ajili ya mgahawa

    Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
Back
Top Bottom