mtu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Je haya ni madini?

    Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

    Akupendae humpendi,umpendae hakupendi. Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali. Atakupa penzi lote kwa sababu ana mapenzi ya kweli.Haijalishi hata Kama wewe humpendi,jizoeshe kuwa nae tu. Lakini...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

    Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma. Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk Nimpongeze sana Dr Munga...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

    salama ndugu zangu. Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

    Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino. Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo...
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani muhimu vya kuangalia na kukagua wakati wa kununua gari kwa mtu

    Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa kupata simu yake iliyoibiwa kupitia Cyber Crime Unit?

    Wanajamvi, Nipo hapa kutaka kujua nakosea wapi. Mpaka sasa ndani ya miezi sita nimeibiwa /poteza simu tatu- smart phones. Simu ya kwanza nikairipoti polisi, Central Police, Dodoma kwa taratibu za kawaida za kipolisi pale Cyber Crime Unit lakini nikawa sina IMEI number hivyo nikaambiwa ndiyo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tambua: Matokeo yanaweza kuonyesha negative, lakini mtu akawa na HIV na kuambukiza zaidi kuliko mgonjwa wa zamani

    Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect HIV angalau week 4 baada ya maambukizi. Vipimo vitaonyesha matokeo sahihi kwa watu walio wengi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  11. goldcall

    JamiiForums Tanzania Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

    Kichwa chahusika, huu ni utafiti wangu, japo kuwa kuna mtu atasema umetoa wapi chanzo cha taarifa, sasa hata uko unakotaka kuamini ni watu kama mimi tu, na ikiwezekana nimewazidi baadhi ya mambo. Unajua, Afrika, tunashida sana, JF, story nyingi ni migegedo tu, lakini amini amini nakwambia, huyo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pengo la mtu kama Balozi Sefue linaonekana Serikali hii

    Pamoja na kwamba hakuwa mwanasiasa Sefue alikuwa mtu kama vile Consultant kwenye serikali ya Kikwete. Kwanza hakuwa mbunge, hakuwa waziri lakini aliziba pengo kwenye sehemu muhimu za kitaifa. Kwanza alikuwa ni mtu ambaye anajua biashara za kimataifa, alikuwa balozi aliyebobea, alijua miradi...
  13. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alipost ana nyumba mbili za kupangisha Chanika na moja Banana naomba namba yako

    Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtu aliyekata roho anavyoweza kurudi kwenye mwili wake

    Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa taratibu na kwa hatua na kwa yeyote aliyewahi kuona wakati mtu anakata roho anaweza kubaini hatua...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Ota ndoto yako, usioteshwe ndoto ya mwingine

    Na Elius Ndabila 0768239284 Kuna mtu ukionana naye au ukimsikia unatamani umwambie unapotea, lakini hofu inakujia kuwa nikimwambia uhusiano wangu na yeye utakufa au anaweza kunidhuru. Njoo nikwambie kitu; Hivi hujawahi kutana na mtu akakwambia kuwa mimi darasani kwetu ndiye nilikuwa na akili...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

    Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
  17. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imekuwa kama familia ya kambale, kila mmoja ana ndevu

    Hii nchi yetu sasa imekuwa ya ajabu sana. Viongozi wetu nao wamekuwa vituko na watu wa ajabu kabisa. Imekuwa kama familia ya kambale ambapo ukoo mzima una ndevu.Yaani kanchi kamekuwa na mambo ya kipuuzi puuzi tu yasiyokuwa na adabu. Kanchi sasa hakana mipango, hakana sera wala hakana uelekeo...
  18. Mwinjilist mtume nabii

    JamiiForums Tanzania Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

    Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu alikua mtu muhimu sana katika mahusiano yetu na mataifa mengine

  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye deni la trillioni 100 ni tajiri kuliko mwenye bilioni 100 kwenye akaunti yake, kuna mtu anabisha?

    Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
Back
Top Bottom