mtu

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

    1. Screenshot then zoom. 2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview. We will make a millions and millions. Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo. Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu...
  2. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki. Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
  3. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  4. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli v/s Yusufu " tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

    Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili Mungu aendelee kumtumia kuibariki Tanzania. Mfalme pharaoh alipoota ndoto ya masuke saba manono na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuwa katika mahusiaano na mdosi, mzungu au mtu wa Taifa jingine?

    Maishaa ni safari au wengine husema maisha ni sinema kama Isidingo. Unapitia mengi katika safari ya maisha. Je, ulishawahi kubahatika kuwa na mahusiamo ( serioues relationship) na jamii ya kundi tofauti na lako yaani uwe na mdosi, dodo, au taifa tofauti. Leta experience yako
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 2020, Tunachagua kati ya Utu wa Mtu na Maendeleo ya Vitu

    Wagombea prominent mwaka huu ni watatu Magufuli, Lissu na Membe, lkn wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni wawili Magufuli na Lissu. Wagombea hawa wawili tayari wameshajipambanua wazi nini vipaumbele vyao 'first priorities'. Wakati anachukua fomu ya NEC mgombea wa CCM Rais Magufuli...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunapokuwa madarakani ni vema kuheshimu kila mtu , huwezi kujua atakayekusitiri ukishang'olewa

    Picha hii inaongea kila kitu , aliyetukanwa mjinga na Mlevi leo kageuka ndiye mfariji mkuu ! Shikamoo Wajumbe .
  9. El Roi

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameelewa alichosema Lissu?

    Kama nakumbuka vizuri wakati Lissu anatoa hotuba ya kukubali uteuzi wa kuwa mgombea kupitia chama chake alisema Mambo ambayo nina Shaka Kama yamefahamika kwa Chadema wenyewe au sisi wengine. Kwanza aliomba tuondoe notion ya kila wakati wagombea kuja na ahadi kwa lugha rahisi ilani ya Mambo gani...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yetu Watanzania yalindwe na Katiba sio mtu

    Maendeleo yetu yanafanywa na kuletwa na kodi zetu sote, Sio hisani tunayalipia na tunawalipa watu woote wanaoyaleta, hivyo ni mali yetu sote. Namna bora ya kuyalinda na kuyaendeleza haya maendeleo yetu yanayopatikana kidogokogo lazima tuyaendeleze na kuyalinda katika kila awamu na kila chama...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

    Wakuu asalaam. Binafsi naamini siasa ni sayansi na wanasiasa ni lazima wawe wanaweza kuimonitor na kuiishi sayansi hii ya siasa. Ili MTU yoyote aweze kuungoza umma wa watanzania ni vyema akawa amesoma na kuhitimu angalau taaluma zifuatazo 1. Sheria Hii ni kwa maana kuwa sheria ndo nguzo kuu ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuandikiwa Dissertation na mtu?

    Kuandikiwa Dissertation na mtu sio jambo baya au Kinyume na Sheria hapana. Zipo sababu nyingi zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation au research kuanzia mwanzo hadi final stage. Sababu zifuatazo zinapelekea mtu kuandikiwa dissertation 1. Muda ( for inservice people) kufanya kqzi huku na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini ACT-Wazalendo wanahimiza sana Wapinzani Kuungana tofauti na CHADEMA ambao wanataka kila Mtu apambane na hali yake tu?

    Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  17. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

    Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza. Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya meno kuumia kwa hisia pindi mtu anaponoa kisu au kufikicha majani makavu ya mahindi?

    Kuna huu ugonjwa ambao siujui jina iwe la kiswahili au kingereza ila uko hivi...; Ukichukua kisu ukakinoa chini au; Majani makavu kabisa ya mahindi uyafikiche au ; Usugue chuma kwa chuma. Meno hupata hisia ya maumivu Sana bila hata kuguswa. Naifananisha hii Hali na maumivu ya mluzi kwenye...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kabla sijawa tajiri kama kuna mtu anataka kufa, afe kabisa

    Habari za mida Hii!? Nasemaje kama nafoka nitafoka sana tu ni hivi maisha unatafuta kwa nguvu zote unapigana huku na kule, Sio baadae Niwe Tajiri ndio ufe, Nionekane nimekutoa kafara hiyo haipo na nikisikia maneno hayo wote napiga risasi, mtu unapambana kwa hali na mali jua na mvua dili...
Back
Top Bottom