mtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

    Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu. Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu: Ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda sana

    Je, ni kweli kwamba, ukitaka kupima kiwango cha juu cha uvumilivu wa mtu yeyote, basi mpokonye kile anachokipenda zaidi? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

    Natumai hamjambo wanabodi, Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha mingi kupitia post na comment zetu. Tabia za kimtandao mara nyingi hutumiwa na wahusika katika...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

    Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
  7. waterproof

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

    Kutoka wikipedia, Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.Katika jamii za Kiafrika, sawa na jamii nyingi duniani, neno “mzee” linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya masoko

    Habari Wana JF. Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k. Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702. Napatikana Dar es Salaam
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

    Wana JF. Leo nimeshuhudia kifo cha ajabu mno. Ilikuwa hivi, MTU mmoja akiwa anatokea maeneo ya postal/ mjini alipofika kwa ofisi ya mwanasheria mkuu alivuka barabara ya kwanza inayotoka na kwenda Kivukoni. Ghafla bila kuangalia huku akiwa anongea na simu ndipo mwendokasi ikampiga na...
  10. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kusikia aibu kwa kitu alichokifanya mtu mwingine sababu ni nini?

    Habari wakuu, Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye swali langu naomba nijieleze nilivyo Mimi binafsi sipendi kabisa kuhaibika huwa najiepusha sana na mambo ambayo yanaweza kumuaibisha mtu, kuongea hata vitendo Imeafika steg hadi nikienda toilet nakagua mara nyingi kama choo kisafi baada...
  11. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  12. waterproof

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

    Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa...
  13. Zegota

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi

    Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe. Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu...
  14. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kweli yana gharama kubwa, yanahitaji mtu jasiri na mzalendo kweli kweli

    Piga picha una familia na kipato chako ni kidogo lakini unataka ujenge nyumba yako. Utaiambia familia tunafunga mkanda, kama mlikuwa mnakula nyama mara nne kwa wiki inaweza kushuka kuwa mara mbili au moja kwa wiki. Utabana matumizi ili lengo litimie. Kumbuka katika kufanya hivyo sio kweli kuwa...
  16. James Martin

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kosa kumsindikiza mtu kuchukua fomu?

    Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu unajijua kabisa wewe ni Msimamizi wa Uchaguzi halafu unaomba kugombea ubunge, Hii si sawa!

    Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari. Niishie hapo!
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

    Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa safarini ikiwemo kutomshika vizuri hali inayopelekea kutaka kumvuka hivyo kumkosesha utulivu. Katika...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini umuhimu wa wadhamini kwa mtu anayegombea nafasi ya urais?

    Wakati mpaka leo hii nikiwa sipati logic ya mgombea kupata udhamini wa chama cha siasa,kinachonishangaza zaidi ni hili swala la mgombea urais kutakiwa kutafuta wadhamini wa kumdhamini kugombea uraisi wa nchi hiii. Utaratibu huu bila shaka tumeuiga kutoka katika mataifa mengine duniani maana...
Back
Top Bottom