mtu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

    Charisma - compelling attractiveness or charm that can inspire devotion in others. Kwa tafsiri ya kiswahili, Charisma ni ule mvuto mtu anaokuwa nao mpaka unatamani kama anaongea aendelee kuongea. Katika siasa Charisma ni kitu cha umuhimu sana, kama huna Charisma, huwezi kuvutia watu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

    Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment. Tusiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Wanabodi, Japo hili ni Jukwaa la Siasa, na hii ni story ya fursa za Kiuchumi, issues zozote za utilities, umeme, maji na mafuta, ni siasa, hivyo ikitokea sintofahamu yoyote kwenye issues za mafuta ya fuel, nchi inatikisika!. Kumetokea Tangazo fulani la Total kwenye gazeti, kuna jamaa ka panic...
  4. JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums Mwenzangu asikudanganye Mtu na usivunjike Moyo unaweza ukakimbiwa na kudharauliwa na wengi, ila Mungu 'atakuteulia' tu wa Kukusaidia

    LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII. Simulizi ya Maisha ya Kweli: Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa?

    Habari watafutaji wenzangu, Naomba niwaulize, hivi humu ndani kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa? Maana naona wanatoa tu matangazo ya ajira ila naona siitwi. Wewe unasema ulishawahi kuomba ajira Barrick na ukaitwa kwenye interview? Karibuni
  7. JamiiForums Tanzania Unapokutana na mtu mkorofi, angalia chanzo cha nguvu zake ukiweza kuidhibiti nguvu yake ukorofi ataacha

    Kuna watu mtaani hawana kauli nzuri kwa wengine, mtu anaeshindwa kuishi na binadamu wenzake, anajiona yeye yuko juu ni lazima atambue kuwa analo fanya si sahihi. Wahenga walisema asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na ulimwengu. Kuna wale vijogoo wa kuchukua wake za watu mtaani, kisa ana duka...
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

    Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo. Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
  9. JamiiForums Tanzania Ivi Hawa Majirani Zetu wa Jangwani Wamekosa hata Mtu wa Kuwashauri kwenye Mavazi? Kweli kumuiga Simba SC bila hela ni kushindana na Tembo Kunya Boga

    Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba? Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi. Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu au mtu ana hisa katika kiwanda cha kutengeneza ndege au kuna manufaa fulani ya kibinafsi wanayapata?

    Inafika hatua naanza kujiuliza hivi kwasababu sioni ni kitu gani au ni faida gani inayopatikana kiasi cha kushawishi watu hawa kuendelea kununua hizi ndege. Unawezaje kuendelea kuwekeza hela nyingi katika biashaara ambayo inakutia hasara au huoni faida yake? Nawaza sana juu ya hili
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msimamizi adai amefuta mapingamizi yote Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, CHADEMA Wakanusha

    Bwana Hamsini amefuta mapingamizi yote hapa Serengeti na kumtaka kila mgombea apigane na hali yake, amesema yeye hana na hataki kujijengea chuki kwa kufuata maelekezo ktoka juu, kuenguana wataenguliwa kwenye sanduku la kura na sio yeye. Ametupilia mbali mapingamizi yote,yaliyowekwa na CCM...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    "Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai. #UzinduziKampeniCCM...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia mtu kuona kama nimesoma text yake kwenye WhatsApp group

    Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu najibu kama si muhimu nataka niwe busy. Sasa tatizo ni ile hali ya mtu aliyetuma text yeye kujua kuwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ndugu wanaosema mtu utume CV halafu wanakaa kimya, wanakuwa na maana gani?

    Kama Mtu hana uwezo wa kukufanyia connection ya kupata kazi si bora avunge tu kuliko yeye mwenyewe akwambie utume CV, halafu baada ya hapo anauchuna, sasa ndiyo nini? Mambo ya kupeana false hopes si uungwana.
  15. JamiiForums Tanzania Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

    Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini. Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3). Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia...
  16. JamiiForums Tanzania Kagera: Mchepuko aua Mchepuko kwa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Derick Dambuve (26), kwa tuhuma za kuwaua Mama na mtoto wake mwenye miaka 2, baada ya mtuhumiwa kumtaka Mama huyo kimapenzi wakiwa baa na kukubaliwa, lakini baadaye alimkuta mwanamke huyo akishiriki tendo la ndoa na rafiki yake. ======= Jeshi la...
  17. JamiiForums Tanzania Hatuendi kumchagua mtu kwa aliyoyafanya, tunaenda kusikiliza mtu atafanya nini kisha tuchague, aliyoyafanya tulishamlipa mshahara. Tunaajiri upya

    Upo msemo eti aliyofanya yanaonekana kwa macho. Hatuendi kuchagua mtu kwa aliyofanya, aliyofanya hakufanya bure wala hakutoa hela yake mfukoni kuyafanya. Na tulishamlipa mshahara kwa aliyofanya. Tunaenda kusikiliza mtu atatufanyia nini ndipo tuajiri. Hii ni ajira na tunaangalia mbele huku...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Pwani: Mtu 1 mbaroni kwa madai ya kumteka mgombea Udiwani CHADEMA

    Mtu mmoja (jina linahifadhiwa) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuhusika kumteka nyara mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo, Martine Sultan. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

    Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA. Inadaiwa watu hao wamezingirwa baada ya mgombea huyo kupiga ukunga na ndipo walipozingirwa na kushushiwa kipigo ambapo mmoja ameuawa huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…