Mtu anayejua ku-file hesabu za mwaka kwenye Tally

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
36,707
2,000
Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka.

Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na 2020!

Kama uko vizuri yani umeiva kwenye ku file na kufyatua reports kupitia mfumo wa Tally tuchekiane.

NB: Uwe vizuri kweli maana document zitapitiwa na auditor kabla ya submission.
 
Abuhunna

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
367
250

habar ndugu, je ulishapata msaada wa mtaalamu wa Tally?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom