Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,542
- 3,451
Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea.
Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140 katika Nchi za Uingereza, Amerika na Austria kwa kuwauliza uzoefu wa wa karibu na kifo. Ikumbukwe wagonjwa wote hao ni wale amba shambulio la moyo lilisababisha kusimama kwa mapigo ya moyo na upumuaji.
Asilimia 39% ya manusura walisema waliendelea kuwa na fahamu kwa kiasi fulani katika kipindi hicho na wajijisikia vizuri kipindi mapigo ya moyo alipokuwa yanashuka na yalipokuwa yakirejia katika hali yake tena.
Asilimia 13% ya manusura walisema wao walihisi hali ya kutengana na miili yao .Asilimia 2% wao walisema alikuwa nakuelewa kabisa nilichokuwa ukiendelea.